Jamani huyu mtangazaji nampenda balaa

Jamani huyu mtangazaji nampenda balaa

Kumbuka kwamba cha mtu MAVI. Huyu lazima atakuwa ni mali ya mtu, chunga sana
 
Nimetokea kumpenda sn huyu Mtangazaji wa Star Tv/RFA "Christina Mbezi"ila tatizo amegoma kupokea simu zangu...naumia sana.
Mpelekee sms umwambie wewe ni mwimbaji wa taarab kwenye kikundi cha taarab cha.................(taja kikundi maarufu unachokifahamu) Hapo utampata!
 
Hakuna mtu namwonea wivu kama bwanake Magret Cosmas, lolololo....
 
Huyu Jack yupo vizur sana.me mwenyewe namkubali sana.

Ila na kenyewe kapunguze maringo! Yaani mpaka kameota kibiongo shauri ya maringo haaaa! Kanavyovuta midomo wakati kanatangaza ni hatareeeee!

Hakatii mguu kwa Zuhura Yunus!!
 
Mi jackline silemu,akiwepo saa 2:00 ITV,lazima hiyo habari niiangalie jwa umakini mkubwa!

Yaaani Jackline silemu nami ananikoshaga sana...ana swaga fulani hivi ni hatari ile mbaya
 
kuna tumaini meshack enzi hizo itv sibanduki kipindi chake daah nilivyompenda
 
Hahahahaha nyege zitawaua sasa. Gentlemen akimtaka dem na nyingi za kufuata na hakuna kinachoshindikana, kuleta hapa jamvini mambo hayo ni ushamba sasa kama ana mumewe itakuwaje.....
 
Nimetokea kumpenda sn huyu Mtangazaji wa Star Tv/RFA "Christina Mbezi"ila tatizo amegoma kupokea simu zangu...naumia sana.

Mkuu Lipakwanza, inabidi ulipe kwanza ndio atapokea
 
Back
Top Bottom