Kale kaharufu una kaondoaje?

Kale kaharufu una kaondoaje?

Duuh yan nakufatilia but still sikusomi...ni kama una vita na papuchi zote....hizo harufu unazoelezea personally nahis wanaumwa magonjwa...ila mzima anakua na normal smell....afu hatutumii tissue sio wote...

Sina ugomvi na papuchi ila nina ugomvi na harufu mbaya zinazo toka kwenye baadhi ya papuchi
 
Umekutana na wachafu tu or wanamagonjwa,,,,,,,,
but uke una harufu yake nzuri na pendwa kwa wenye ulimi wao
 
Hali zenu wana jamvi,
Leo hii ningependa kuleta mada ambayo ki ukweli haina majibu ya kueleweka kichwani mwangu.

Hakuna asiye jua kuwa wanawake huwa wana kaharufu ambako ki ukweli kanakera mno ambacho huwa inatoka kwenye tupu zao.

Wengi wao huweka miski, hufukiza udi, hupaka manukato, hupaosha na sabuni na njia nyingine nyiiingi.

Swali langu ni kwamba njia ipi ni bora kiafya ambayo itatokomeza kabisa harufu hiyo ya kunako?

Maana nasikia nyingi zao zinaweza kupelekea kansa ya uke.

wewe unaongelea wagonjwa, kama ambavyo wengine hunuka mdomo, miguu na kwapa, lakini papuchi ya mwanamke asiyekuwa na tatizo ya kiafya hunukia vizuri mnoooooooo
 
yaani maneno hayo yote, yanahusu kule tulikotoka! daaah, home sweet home!
 
Harufu inatokana na kujisafisha umesimama au harakaharaka...sisi wasichana unatakiwa uoshe sana k kuliko sehemu nyingine yoyote...so akienda kuoga aandae ndoo ndogo yenye maji safi ahakikishe mikono misafi...kisha aoshe kwa sabun ya jamaa au any non medicated soap kwakua ukitumia medicated inaweza kukuletea rashes na magonjwa mengine...iyo ni kwa nje aoshe sana ili sabun isibaki...then aingize kidole nusu cha kati au kinachofata badala ya chakati...amwage maji mengi kuelekea huko....maji yanatakiwa yawe mengi sana...yanapendekezwa yawe ya baridi kwakua ya moto yanasababisha kutanuka kwa k kwa kua kule pako kama rubber....then lastly kabsa kama mwanamke ana mavuzi mengi then ni moja ya kunuka coz akiswet sana na zile nywele lazima atoe harufu...akifanya ivyo chupi yake itakua safi na atanukia murua...na pia baada ya kuoga apake mafuta ya mgando juu ya k kuepusha ngozi kua ngumu na nyeusi....binafsi ndo nnachofanya sijapata malalamiko yoyote....bila kusahau kila baada ya kumaliza round aoshe k ndo muendelee...

Bado mda kidogo mtazibinafsisha kwa machinga wauza urembo wazifanyie usafi.
 
umeongea as if ni wote.....binafsi sijawahi kukutana na mwanamke mwenye hako kaharufu..
Mkuu labda we pua yako ina matatizo omba usikutane nayo kitu kinatema ka dampo na kila ukiona mzoga unamkumbuka acha kabisa hio kitu ni noma
 
Nashkuru kwa hii siredi,,maana ni muda sana najifikiria kuanzisha siredi yenye udhui ilo,,binafsi mpaka najiona nna mkosi mwaka u kwan kila nnapopita nakutana na harufu ya ajab,,,tena kwa bahat mbaya au nzuri unakuta ni sista du mzuri,,mweupe,,neema uko nyuma lakin usiombe ukakumbana na tht smel unaweza kufa,,,last week nimekumbana na mkasa uo mpaka sasa nimeamua kustaaf kidogo,,,yan nilihc nimepitiwa na gari ya maji taka kwenye kiganja,,,iv tatizo haswa ni nn?,,,mbona maskin wadada wa watu n warembo tu!!!!!!
 
Hali zenu wana jamvi,
Leo hii ningependa kuleta mada ambayo ki ukweli haina majibu ya kueleweka kichwani mwangu.

Hakuna asiye jua kuwa wanawake huwa wana kaharufu ambako ki ukweli kanakera mno ambacho huwa inatoka kwenye tupu zao.

Wengi wao huweka miski, hufukiza udi, hupaka manukato, hupaosha na sabuni na njia nyingine nyiiingi.

Swali langu ni kwamba njia ipi ni bora kiafya ambayo itatokomeza kabisa harufu hiyo ya kunako?

Maana nasikia nyingi zao zinaweza kupelekea kansa ya uke.

wenzio hawanaga hiyo mambo ya kunuka ni uchafu tu. jisafishe. ujue tunazama kunako papuchi kula chunvi sababu hainaga hiyo mambo. kuwa msafi sanaaaa utafurahia.. hiyo ndo dawa. ukiweka hizo mambo zenyu za sijui kufukiza kupaka so me ntazamaje kula salt?
 
Nashkuru kwa hii siredi,,maana ni muda sana najifikiria kuanzisha siredi yenye udhui ilo,,binafsi mpaka najiona nna mkosi mwaka u kwan kila nnapopita nakutana na harufu ya ajab,,,tena kwa bahat mbaya au nzuri unakuta ni sista du mzuri,,mweupe,,neema uko nyuma lakin usiombe ukakumbana na tht smel unaweza kufa,,,last week nimekumbana na mkasa uo mpaka sasa nimeamua kustaaf kidogo,,,yan nilihc nimepitiwa na gari ya maji taka kwenye kiganja,,,iv tatizo haswa ni nn?,,,mbona maskin wadada wa watu n warembo tu!!!!!!

Tatizo ni kuto jijali afya, mi naamini hilo tatizo huwa hali anzi ghafla, litakua linaanza kidogokidogo sema huwa wanalichukulia poa kuhamaki, hali tete...!
 
wenzio hawanaga hiyo mambo ya kunuka ni uchafu tu. jisafishe. ujue tunazama kunako papuchi kula chunvi sababu hainaga hiyo mambo. kuwa msafi sanaaaa utafurahia.. hiyo ndo dawa. ukiweka hizo mambo zenyu za sijui kufukiza kupaka so me ntazamaje kula salt?

Nashukuru kwa ushauri wako, bila shaka utawasaidia dada zako wenye hiyo shida
 
Back
Top Bottom