Habari wana JF nina tafiki yangu mmoja hivi ambaye tunaaminiana sana ana mchumba wake ambaye wanapendana sana sasa chakushangaza leo amenipigia simu na kuniambia kuwa mchumba wake anakuja mkoani niliko kwaajili ya kufuatilia cheti chake kwenye shule aliyo soma na anataka nimpokee alale kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.