Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
DENDA HAINA MADHARA, MADHARA YAKE NI UTAMU UKIZIDI.
Katika mapenzi denda inakorombeza na kushawishi mvuto wa kuangukia kitandani kucheza mchezo wa Baba na Mama.
Denda inaambatana na mate, kama mmoja hapigagi mswaki au ana michubuko mdomoni hilo denda lenu linaweza kuzaa magonjwa ya kuambukizana hata UKIMWI pia. Ndio maana kabla ya denda(kunyonyana ndimi) hakikisheni midomo iko salama na muwe wasafi kwa kupiga miswaki.
Denda huwa haichagui mahali pa kufanyia, popote pale inaweza kufanyika maana haina aibu wala MADHARA mbele za watu. Aibu ni kwa washamba tu, Ila kwa usitarabu lazima ulinde heshima yako ya mapenzi. Denda ni nusu ya ngono, angalia usije kumuuma ulimi mpenzi wako maana wengine ni wageni na denda. Karibuni:
Naitwa:
Deogratius Nalimi Kisandu