Kyoso Mtambo
Member
- Oct 27, 2014
- 17
- 5
Habari wana JF nina tafiki yangu mmoja hivi ambaye tunaaminiana sana ana mchumba wake ambaye wanapendana sana sasa chakushangaza leo amenipigia simu na kuniambia kuwa mchumba wake anakuja mkoani niliko kwaajili ya kufuatilia cheti chake kwenye shule aliyo soma na anataka nimpokee alale kwangu wakati anajua kabisa kuwa nimepanga nyumba ya chumba na sebule kingine pia huyu shemeji anaonekana kujitega tega kwangu sielewi sijui ni mtego jamaa anataka apime uaminifu wangu hapa nilipo nipo njia panda.