Recent content by kyle rothschild

  1. K

    Igunga: Mwananchi amuomba Rais Magufuli ‘kuachia pesa’ mtaani, Rais ajibu hakuna vya bure zaidi ya kuchapa kazi

    Si ana mtindo wa kujifanya ATM, anagawa pesa ovyo, yeye anazitoa wapi?
  2. K

    Majibu ya kwanini Watanzania wengi hawana furaha

    Mwenye Farah zaidi ni bashite tu, hata jiwe mwenyewe hana furaha wala amani, mara magogoni mara chamwino mara chato, mwisho atalala hadi makaburini kwa hofu!
  3. K

    Wakubwa wamekuwa wengi, ving'ora vimezidi

    Huku Dar walijifanya wamehamia Dodoma, lakini kutwa kucha wako Dar, mmesahau nini huku? au vimada nini?
  4. K

    Tanzania yatimiza malengo. Sasa rasmi ni nchi ya ahadi

    Kila siku anakopa, huku anatamba kuwa tunatumia pesa za ndani! Haijwahi kutokea duniani kuwa na kiongozi muongo hivi.
  5. K

    Uchaguzi 2020 Tufanye Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani, Rais Magufuli hana Mpinzani

    Kama ni mwanamme kweli aruhusu uchaguzi huru na haki aone kazi kama hajaazima kura kama alivyofanya kwa lowassa.
  6. K

    Makao Makuu kurudi Dar baada ya Magufuli kuondoka kwa aibu madarakani?

    Jiji bila skyscrapers ni bure tu, huwezi kuwa na jiji lenye vijumba kama shule za kata.
  7. K

    Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    Huyu rafiki yangu amekazania ndege, steglers gorge, hata afanyeje hatamfikia jk.
  8. K

    Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Leo nimeamini kuwa hakuna CCM bila CDM! aibu ya mwaka hii. Hatimae ccm wapigiwa kura na polisi.
  9. K

    Ubabe hadi Canada? This time you're done

    South walienda wakidai ooh! unajua sisi ndio tuliwasaidia kupata Uhuru na blabla kibao! Nendeni Canada mkawambie huo upuuzi wenu.
  10. K

    Tunamuonea sana rais Magufuli

    Tunaangalia sura ya MTU, haijawahi kutokea mtu mwenye sura nzuri akawa na roho mbaya kama ya shetani!
  11. K

    Swali Butu: Mambo haya 4 Magufuli anayafanya tofauti na Marais 3 waliomtangulia! Nani anabisha?

    Huyu wa sasa pamoja na sura mbaya, ana roho mbaya sana za visasi, kukomoana kupoteza watu kufilisi na kuua kabisa! Kwa kifupi, huyu wa sasa hakufaa kabisa kuwa hata mwenyekiti wa kitongoji
  12. K

    Je, kwanini watumishi wa umma wa Tanzania hawagomi?

    Watumishi wa Tz hawajui haki zao.
  13. K

    Miaka 15 ya utawala kwa Mh. Rais inatosha kufanya akamilishe madhumuni yake kwa taifa letu

    Nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba alioapa kuilinda, na ilani ya uchaguzi ya chama husika sio kwa kutumia makalio, bangi na kuangalizia kwa kagame!
  14. K

    Serikali ya Rais Magufuli yagoma kumfanyia uchunguzi Makonda juu ya utajiri na mali alizonazo kazipataje

    Makonda ameshawanyang'anya wahindi na waarabu wengi mali zao wakiwemo akina GSM akina MO. Huyo ni jambazi kama majambazi wengine! Huo ni utajiri wa laana tu. Huyo babake wa kambo anampa kiburi sana Huyo shoga. siku jiwe akiondoka makonda atakuwa masikini atanyang'anywa hadi baiskeli.
Back
Top Bottom