Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,370
- 30,332
Wakuu sijui ni mimi tu naliona hili, lakini katika barabara ya Bagamoyo, wakubwa wamekuwa wengi mno na vimuli muli vyao na ving'ora.
Jana mkubwa mmoja akienda Bagamoyo tumesimamishwa nusu saa. Kuja mjini unapisha na ving'ora karibia vinne ndani ya muda mfupi ili kuwapisha barabarani.
Hii imekuwaje lakini, kero ya wakubwa?
Jana mkubwa mmoja akienda Bagamoyo tumesimamishwa nusu saa. Kuja mjini unapisha na ving'ora karibia vinne ndani ya muda mfupi ili kuwapisha barabarani.
Hii imekuwaje lakini, kero ya wakubwa?