pale kuna watu wengi tayari wameshahonga toka cku nyingi wachukuliwe mzee, kuna jamaa wako kwa ajili ya hiyo kazi. wanatuzuga tu hao.unatoa hela ndio upate kazi, tafuta watu wa pale umpe hela unapata kazi mkuu. kuna jamaa ukiwapa kitu kama laki 5 au 1m wanakupigia dili. hata mwaka jana ilikuwa...
kumbe watu weng 2liiona hii, cc 2likuwa 2naangalia taarifa ya saa mbili mahali flani, 2kawa 2namuona rais wetu anavyoshangaa anaangaliaangalia juu tu na watu wake. hata hawackilizi mazungumzo yan. banda zima watu walicheka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.