huyo mpambe wa jk hayo mabegi mbona yamemzidi, huyu mchizi bado anabebaga makabrasha hajui kutumia ipad? Au kabeba ule ulinzi sheikh yahya alomuachia
Duuuuuuuuu!!!!!!! ama kweli ilikuwa aibuuuuuuuuuuuuuuuu, yaani hata cjui nisemeje, na walofanya editing je walishindwa kuondoa kipande hicho cha mkulu wa kaya na delegation yake wanavyoshangaa kabla ya kuirusha?
Hata kama kashangaa, huyo bado ni kiongozi wako. Political hatred drives you roughly guys, slow down and think BIG.
mkw.ere jee! Kwanza kakaa kwenye kiti kajikunja kama kambale halafu akaanza kuzungusha macho darini kama tochi, yani ameaibisha Taifa ile mbaya
Upumbavu mtupu. Jaribuni kuheshimu viongozi wenu hata kama wanautendaji mbovu. Nyie ndio mnaweza hata kucheka makalio ya baba zenu yakiwa wazi. Shenzi kweli. Those are state figures no matter how inefficient they work!
kumbe watu weng 2liiona hii, cc 2likuwa 2naangalia taarifa ya saa mbili mahali flani, 2kawa 2namuona rais wetu anavyoshangaa anaangaliaangalia juu tu na watu wake. hata hawackilizi mazungumzo yan. banda zima watu walichekaWadau ninaangalia taarifa ya habari ITV, kilichonishangaza ni taarifa ya Raisi na viongozi wengine wako ziarani Oman,kilichonishangaza mimi ni jinsi viongozi wetu walivyokuwa busy kushangaa hekalu muda wote, sijui nini tafsiri yake ,!? kwa mlioona niambieni