.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...
We unatakiwa usijadili lolote ktk jf kwa kuwa uelewa wako ni wa mashaka. CCM haitakiwi kulalamika bali kutekeleza. Wewe huoni tofauti ya chama tawala na upinzani?