Recent content by kyata amato

  1. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

    Haya. Tusahaambiwa tutii Sharia bila shuruti.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nauza madaladala hino rainbow

    Wanakaa abiria wangapi mkuu?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja na nyumba ambayo haijaezekwa kwa bei nafuu

    Weka bei mkuu, watu waje wanunue
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jonas Mkude na mashabiki wa Simba wapata ajali, shabiki mmoja afariki

    Kugambeka ndiyo nini mkuu? Naona umekoment kimzaa mzaa ambayo siyo kawaida yako mkuu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hapo Alipo Felchemi Mramba formed DG TANESCO

    kwa hiyo wewe ndiyo Mramba au amekutuma?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

    Kwa nini mkuu unapendekeza hivyo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hebu muelewe mnyama mkali huyu

    Nimeikubali, ubingwa vpl ni hadi mechi za mwisho, vile vile Na FA cup ni mpaka filimbi ya mwisho mechi ya fainali. Hivyo tusishangae kuona Mbao FC akilinyakuwa Na kukwea pipa mwakani. Hebu tuache muda uongee, tusilete mihemko humu..
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mezani fc

    :(:(:(:( nyie viumbe wabaya sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nyota wa Serengeti boys apimwa matumizi ya dawa za kusisimua misuli

    Figisu figisu nimeanza...
  10. K

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Hali si shwari Simba..!

    Na Mzee Dalali mlimfanyaje? Au nimesahau, si mlitaka kuchoma nyumba yake Magomeni? Na hiyo ndiyo maana yenu. Mtaishia kunawa tu..
  11. K

    JamiiForums Tanzania Simba mnyama amefanya yake

    Simba ni wa Matopeni, nini hujui hapo?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Canter mbili zenye uwezo wa kubeba mzigo wa tani 3 zinahitajika haraka..

    IPO, mie ninayo mkuu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba wanywea, sasa umepanga kuzungumza na Mo Dewji

    Timu inaaribiwa kitambo, we tulikuwa wapi mkuu??
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tajiri Zackaria Hans poppe amerejea rasmi Simba

    Povu tupu, tena la OMO
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Klabu ya Yanga

    Ahaaaa, eti mbeleko FC.
Back
Top Bottom