Mr Mikazo
JF-Expert Member
- May 26, 2016
- 1,586
- 794
HII NDIYO SIMBA SPORTS CLUB HAKIKA IMETUFURAHISHA MASHABIKI WENU 2016 / 2017
Simba wanachukua Kombe la FA kama Ambavyo Yanga Wamechukua Kombe La Ligi,
Simba Itawakilisha Tanzania Michuano ya Africa Kama Ambavyo Yanga Itawakilisha
Simba Imeifunga Yanga Kwenye Ligi kuu, Pia Simba Imeifunga Yanga Kwenye Kombe La mapinduzi Kule Zanzibar, Wakati Yanga Haikuweza Kuifunga Simba Mwaka Huu,,
Simba Inakwenda Kupata Milion 90, Milion 40 ligi kuu, Na Milion 50 Kombe La FA wakati Yanga Wanakwenda Kupata Milion 80 tu ya Ligi kuu,,
HAKIKA HII NDIYO SIMBA NGUVU MOJA