Mezani fc

greater G

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
308
215
MEZANI FC Watinga ofisi za FIFA
_________________________________________

FIFA: Eeh umefuata nini huku
MEZANI FC: Point zangu tatu za Kagera Sugar

FIFA: Kwani ilikuwaje uzifuate huku
MEZANI: Nilifungwa halafu TFF wakawapa Kagera point zangu

FIFA: Huko kwenu mtu akifungwa point tatu anapeawa nani?:
MEZANI: Aliyeshinda

FIFA: Jamani eeeeh . . . . niitieni Daktari wa vichaa kuna kichaaa kapotea njia hapa . . .

 
2083cef5934c4fed002dbcf6e2e1bd7f.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom