Hujamaliza!ungesema pia kama unataka gari ya mkononi au ya iliyopo yard.....Heshima kwenu wakuu,
Natafuta gari mbili aina ya Canter yenye uwezo wa kubeba mzigo wa tani 3 na iwe short chases.
View attachment 510606
Nipo Dar. Kwa mawasiliano ya simu 0625569109
Ntakucheki hewani biashara Si imenyookaMkuu, sio lazima sana iwe ya yard.. Kama ya mkononi iko na good condition we may negotiate.. All options are open!
IPO, mie ninayo mkuu.Ntakucheki hewani biashara Si imenyooka
Ova