kazikaz Member Oct 8, 2016 39 31 Jun 2, 2017 #1 Nina magari matatu yote nauza nataka kuhama Tanzani so nauza bei poa gari zipo tatu zote Hino rainbo w Mbili ni namba C moja ni namba DDP BEI M 18 maongez yapo nataka niziuze fasta Karibuni My contacts 0672243892
Nina magari matatu yote nauza nataka kuhama Tanzani so nauza bei poa gari zipo tatu zote Hino rainbo w Mbili ni namba C moja ni namba DDP BEI M 18 maongez yapo nataka niziuze fasta Karibuni My contacts 0672243892
N'yadikwa JF-Expert Member Aug 10, 2014 7,113 10,219 Jun 2, 2017 #2 Dah bei chee sema ukata tu,injini vipi swafii?
kazikaz Member Oct 8, 2016 39 31 Jun 2, 2017 Thread starter #4 N'yadikwa said: Dah bei chee sema ukata tu,injini vipi swafii? Click to expand... Engene zote safi haijawahi kufanyiwa overall hata cku moja na kuna gari ingine namba DDP haijawahi hata kufunguliwa
N'yadikwa said: Dah bei chee sema ukata tu,injini vipi swafii? Click to expand... Engene zote safi haijawahi kufanyiwa overall hata cku moja na kuna gari ingine namba DDP haijawahi hata kufunguliwa
Nrangoo JF-Expert Member May 22, 2017 3,395 5,374 Jun 2, 2017 #5 Duhh, mkuu umevunja bei kweli. Washindwe wadau wenyewe tu
K kyata amato Member Apr 7, 2017 61 22 Jun 2, 2017 #6 kazikaz said: Engene zote safi haijawahi kufanyiwa overall hata cku moja na kuna gari ingine namba DDP haijawahi hata kufunguliwa Click to expand... Wanakaa abiria wangapi mkuu?
kazikaz said: Engene zote safi haijawahi kufanyiwa overall hata cku moja na kuna gari ingine namba DDP haijawahi hata kufunguliwa Click to expand... Wanakaa abiria wangapi mkuu?
kazikaz Member Oct 8, 2016 39 31 Jun 2, 2017 Thread starter #7 kyata amato said: Wanakaa abiria wangapi mkuu? Click to expand... Abiria ni 26 na sehem kubwa ya kusimama
kyata amato said: Wanakaa abiria wangapi mkuu? Click to expand... Abiria ni 26 na sehem kubwa ya kusimama
Jalema JF-Expert Member Oct 26, 2013 594 868 Jun 3, 2017 #9 Niuzie moja kwa mkataba wa miezi kumi na mbili ntakua nishakulipa pesa yako yote mkuu kila mwisho wa mwezi nakupa milion moja na laki nane
Niuzie moja kwa mkataba wa miezi kumi na mbili ntakua nishakulipa pesa yako yote mkuu kila mwisho wa mwezi nakupa milion moja na laki nane