Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

Huyu jamaa kinachomponza ni kutokujua sheria ya mchezo(Rule of the game),kwa nchi yetu ukiwa masomoni hupaswi kujihusisha na harakati zenye mlengo wa kisiasa maana watawala wetu wana roho mbaya na fitna sana hasa ukionesha uko kinyume nao wako tayari wakuue.

Huyu jamaa siasa inamponza hakuna kingine, alafu ukishajijua wewe ni maskini ni vema uka-focus lengo kuu, hayo mengine utayafanya ukiwa huru.
Tumepita hapo UDSM bila shida kwa kua tuliutambua mchezo mzima sasa anayeshupaza shingo ndo anaumia.

Hii nchi yetu msiifananishe na kwingine mtaumia
Naona unafundisha vijana woga
hahahaha, bashite katika ubora
 
******Ndo hivyo, tuvumilie, tutafika tu*****

Niko hapa maeneo ya Ubungo Plaza nikiwa nimejiandaa vema kuhudhuria tukio la uzinduzi wa kitabu cha ndugu uyetu Alphonce Lusako ghafla naona magari ya polisi matatu lingine likiwa limepaki kwa mbali.

Hapa nilipo imenibidi nijifanye mpita njia maana wamemkamata Mkuregenzi wa kituo cha utetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndg, Onesmo Ole Ngurumwa pamoja na ndugu Baraka, wamechukuliwa hapa Blue Pearl na Police.

Wanaelekea kuhojiwa na OCD Kituo cha polisi Magomeni.

========
Kitabu kilichotaka kuzinduliwa kinaitwa Sauti ya Watetezi wa Haki Vyuoni.

View attachment 518753

Onesmo Olengurumwa ameachiwa kwa dhamana jioni ya leo.[/QUOTE]
 
Nimefuata hiyo link, kitabu nimekipata na kukisoma. Kwa ujumla, kama kitabu chenyewe ndio hicho, sielewi walikuwa wanazindua nini! Kitabu kiko kama bado ni draft changa kabisa, hakijafanyiwa uhariri, kina makosa mengi ya spellings, majina ya watu na taasisi yamekosewa, kina upungufu mkubwa sana wa facts, kwa ujumla siyo kitabu!
Na hao wanaokimbizana kuzuia andiko la namna hii ni wa kuwashangaa zaidi.
 
Nakubaliana nawe Mkuu kwa hizi IQ za Kipumbavu kabisa za baadhi ya Watanzania wenye chuki zisizo na Kichwa wala Miguu dhidi ya Rwanda na Rais wake Paul Kagame United Africa ni jambo lisilowezekana. Kama leo tu mnawachukia majirani zenu wa Kijiografia wa Rwanda itakuwaje kwa Waafrika wenzetu wa Nigeria au Tunisia au Botswana? Nawaheshimu mno Watanzania na naipenda mno Tanzania ila kuna baadhi yenu ni Wapumbavu wa kiwango kisichovumilika na ambao Mimi pia sitowavumilia abadan.
Umejitahidi sana kutetea nchi yako na rais wenu mpendwa. Ila kusema baadhi ya watanzania wana IQ za kipumbavu na chuki zisizo na kichwa wala miguu kwa majirani inaonesha wewe pia hujui unachotetea. Mwaka 1994 ninyi wanyaruanda mliuana wenyewe kwa wenyewe kisa wewe mtutsi na jirani yako mhutu. Huoni hizo ndo IQ za kipumbavu zaidi na chuki zisizokuwa na kichwa wala miguu?? Au unaona mlifanya sawa kuchukiana wenyewe kwa wenyewe hadi kuuwana? Jitafakari upya.
 
Acheni umbea, mambo kama haya yakitokea subirini mpaka waliochukuliwa kuhojiwa wakitoka wataeleza sababu hasa ni nini.. siyo mnalumbana wakati chanzo hakieleweki
 
Back
Top Bottom