Recent content by Kyanyundu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    Ke...............
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    Asiyesikia la mkuu...... Bandu bandu......... Mtaka vyote kama fisi......
  3. K

    JamiiForums Tanzania nimeingizwa mjini kariakoo mtaa wa congo

    pole sana mie ilinitokea mwaka 2007 nikiwa Azania S.S, bt tulisumbuana nao sana, then nikalipa pesa kidogo, "Huo ni utapeli."
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wamasai nao kwa ubishi

    Kumbe dawa la Mangi ni dogo sana Rafiki <Masai> kwisheni.:A S cry:
  5. K

    JamiiForums Tanzania Utoto bwana!!

    ukimchungulia mtu anajisaidia mama yako anakatika titi. nilikua nikimwona mtoto wa punda mbiooo.. kwenda kuoga kisimani then tunacheza mpaka giza then ha2ogi, kipigo cha hapo usisme...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hii kali..

    ha ha ha mijike mingine bana..
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wachaga kwa swagz uwawezi!

    Utani mwigine bana ...
  8. K

    JamiiForums Tanzania A drunkard

    Njemba 1 ilikua imelewa, ikawa inatembea road mara ikaona taa 2 mbele, kulia na kushoto, ikasema hawa bodaboda vp; ikasimama katikati ya road; da kushangaa kidogo kumbe ni bonge la fuso limeshika break mbele yake!!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa vipi(1).

    Ingekuaje tusingepata uhuru..
  10. K

    JamiiForums Tanzania Top Richest People in Tanzania

    vp kuhusu Mkono kwa mkono.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama hujafanya haya wewe haujakaa uswazi. (uswahilini)

    Kuambiwa ukaoge kisimani, then unaenda kucheza mpira,jaga, karata nk. ucku ni kichapo kwa kwenda mbele, maza kanifaidi kwa hili!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je kuna wanajeshi jamiiforums?

    mi hapo cpo..make hawa jamaa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Div one -hgl point 8

    kwani ww una malengo gn na hako ka-hgl?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Shukuru Kawamba unajisikiaje hali hii

    Inauma na kupain sana; i think c maigizo it z rael exist in Tz, Viongozi hamuoni au hao c watz kama ninyi:A S-baby:?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Miss Tarime

    hawa jamaa nomaa, mi nawakubali.
Back
Top Bottom