nimeingizwa mjini kariakoo mtaa wa congo

cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
3,552
5,447
niliamka zangu walaa sijui kitakachonipata huyoo hadi kkoo...baada ya kumaliza mishe ile narudi nikashikwa mkono na fundi viatu na kuniambia ana dawa ya kusafisha safari boots zangu tsh 300 kwa brush....mi nikajua easy tu...nkampa viatu...namwona jamaaa kila brush anahesabu..ile kuja kushtuka kashahesabu kama mara tisa af huo mguu mmoja tu ndo nakuja shtuka kumbe nadaiwa 2700 ikabd nichukue kiatu changu mdogo mdogo niende hom nikakiloweke kwe maji koz vimekuwa rangi mbili kama zile dawa
 
Hata huwa siwaangalii mara 2 hao jamaa. Utaona anajaribisha kdogo kupaka viatu hata hujamwambia huwa napiga teke afu huyoooo.
 
baasha hubaishiwa kaka...usipende sana hayo mawazo
 
Ah ah dah wajanja sanahawa wanaweka kiwi eneo kuuuubwa yaani wanajua utatoa ela tu ..sema nimejifunza
 
pole sana mie ilinitokea mwaka 2007 nikiwa Azania S.S, bt tulisumbuana nao sana, then nikalipa pesa kidogo, "Huo ni utapeli."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom