Miss Tarime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miss Tarime

Discussion in 'Jamii Photos' started by munisijo, Apr 19, 2012.

 1. munisijo

  munisijo JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 869
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 60
  Hapo yupo katika kikao, kwenye ugomvi anakuwaje?Dah, kweli TARIME noma!Tafakari....
   

  Attached Files:

 2. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,491
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Mbona kawaida kabisa kila sehemu na tamaduni zake
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu sio ngariba kweli? Anajihami dhidi ya wapinga ukeketaji wa wanawake.
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hakosi viwembe hapo
  OTIS
   
 5. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona wamasai huku mjini wanazunguka na masime, mafimbo, virungu lakini wala hatuwashangai, tunadhani ni utamaduni, jaribu kumchokoza uone atakavyokushughulikia na hizo silaha zake ni balaa!!!!!
   
 6. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  huyo mama kajitolea sana, yaelekea alikuwa anaenda kutafuta kuni, then kakubali kuahirisha kaenda kwa kikao...
   
 7. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  self difence
   
 8. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Yaani huyu Mbibi namkubali tena sana tu,amewai kumsikiliza Dr.Slaa kwani alijua akifika home kujikwatua atachelewa uhondo.ni mfano wa kuigwa
   
 9. J

  Johnson2012 Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haya wakina chacha, mwita, maseke mmeriona hiro rimama ndo rinatuwakirisha si mnakumbuka warikwenda Beijing kudai haki? mtu akireta ujinga unamgecha
   
 10. b

  babacollins JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ila jomba jali umri bi mkubwa kama huyo hafai kutania hovyo,ila poa picha ina ujumbe flani
   
 11. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thread,Haina mashiko.
   
 12. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hii picha ilishaonyeshwa humu JF, sijui kwa nini niarudiwa rudiwa, ilipoonyweshwa mara ya mwisho walisema ilipigwa kilimanjaro na baadhi ya wachangiaji walisema labda alitokea shambani. Lakini pamoja na hayo yote tujiuulize katika nafsi zetu je tunawaheshimu wazee wetu katika jamii?? Huyu bibi is a private citizen, siyo mwanasiasa, siyo fisadi wa ccm na sheria za tanzania hazikatazi mtu kubeba panga au jambia au kisu. Kosa lake ni nini hadi akashifiwe kiasi hiki na great thinkers wa JF?? Kumdhalilisha huyu bibi kwa hizi comments zenu na kuweka picha yake kwenye public media bila idhini yake ni ukosefu wa adabu uliopitiliza na ni uvunjaji wa haki yake kama binadamu kuwa huru kutenda apendalo ili mradi havunji sheria. Suppose huyu ni mama yako mzazi au bibi yako aliyetokea shambani na zana zake za shambani na akakuta mtoto au mjukuu amezimia kwa homa kali, bila kuchelewa akamkimbiza dispensary ya kijijini!!! Je utafurahia hizi dhihaka na kashifa???? Jamani tuacheni ukafiri!! Waheshimuni baba na mama zenu ili siku zenu ziwe nyingi katika nchi mpewayo na bwana Mungu wenu.
   
 13. K

  Kyanyundu Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa jamaa nomaa, mi nawakubali.
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Amejiandaa kuyaua magamba 2015!
   
Loading...