Kama hujafanya haya wewe haujakaa uswazi. (uswahilini)

Enzi hizo kuangali video kwa jirani MPAKA MUOGE kwanza ndo mruhusiwe.
Na huko ndani mnaenda kukaa chini.

we mshkaji tulikuwa wote vwawa nini,Kuwatishia wenzio kuwa unaweza kuwapiga ngumi kwa kirumi,
 
kama hujafanya mambo haya hujakaa uswazi
1. Kulilia soda ya mgeni
2. Kukataa kuoga
3. Kukataa kwenda shule kwa kusingizia unaumwa
4. Kutochez mbali na nyumbani siku ya sikukuu ili ufaidi pilau
5. Kulamba kamasi
6. Kucheza kombolela/kidali au kibaba na mama
7. Kwenda kuangalia muvi kwenye mabanda ya video.
Haya wadau tuendelee na mengine ambayo nimeyasahau.
ww ndiye Hamis Mussa Msangi?Hiyo michezo na mingine mingi tulicheza sote!
 
da hiyo ya kusingizia kuumwa nimefanya sana nilivyoshtukiwa mbinu hyo nikaanza kuficha nguo unachukua shati la shule unalitupa uvunguni asubuh mama analitafuta mpaka anakwambia utaenda kesho unarudi kulala,kuna cku akanipatia shati halionekani akanipa bonge la shati la bro ananiambia leo utaenda shule mbona nililitoa shati mwenyewe mama hili nimeliona mama analiweka mezani analivuta vuta anapunguza mikunjo unaenda shule.

hahahahahaha! we hapa umenchekesha! w mkaree
 
Kuambiwa ukaoge kisimani, then unaenda kucheza mpira,jaga, karata nk. ucku ni kichapo kwa kwenda mbele, maza kanifaidi kwa hili!
 
Mchezo wa baba na mama siku nikichaguliwa kuwa mtoto mtoto nagoma nilikuwa siipendi kutumwa
 
1.Kupinga BONG'OA mwenzako akiinaba unampa teke la makalio
2.Kung'ang'ania kuvaa nguo mpya siku ziliponunuliwa
3.Kuvizia na kunywa maji swaumu ikikaba.
4.Kuchonganishana ili mpigane aunekane nani mbabe.
5.Mchezo wa mbugumbugu (unaweka temba za mahindi ya kuchoma kiganjani halafu mwenzio aseme zipo tembe ngapi,akikosa anakupa idadi ya alizotaja).
6.Kuwashika waschana matiti.
 
kuvaa kaptula bila ch.u.pi haikusumbui
kupakia basi mara moja kwa mwaka-ukishuka unahisi kama vile miguu ipo juu juu-huwezi tembea vizuri
kuweka kioo chini ya miguu ya wasichana ili kujua wamevaa c.h.upi ya rangi gan
kununua andazi na kugawia kundi zima,hata kama ni kidogo size gani-maana kila mtu anaomba
kuwinda ndege,na grasshopper na kuwachoma na kula
kupaka mafuta miguuni na usoni meeeeengi hata kama hujaoga ili uambiwe we ni msafi
 
hahahaha umenikumbusha mbali nilipinga hiyo na beki3 siku nikamvizia jikoni niliachia kitu kama penati ya ramos mdada wa watu akadondokea sufuria la viazi na hpo ndo ukawa mwisho wa huo mchezo
 
kama hujafanya mambo haya hujakaa uswazi
1. Kulilia soda ya mgeni
2. Kukataa kuoga
3. Kukataa kwenda shule kwa kusingizia unaumwa
4. Kutochez mbali na nyumbani siku ya sikukuu ili ufaidi pilau
5. Kulamba kamasi
6. Kucheza kombolela/kidali au kibaba na mama
7. Kwenda kuangalia muvi kwenye mabanda ya video.
Haya wadau tuendelee na mengine ambayo nimeyasahau.

8.kuangala video ya mabox mnatoboa box kwenye tobo unaweka karatasi nyeupe mtu anakaa nyuma na kibatari na watu wa kuchonga kwa box then anawapiganisha waangaliaji full burudani.
9.kusukumiza magari halafu likiwaka mnapanda mnapelekwa mbali kinoma mwenyeshe anawas
 
10.kufukuzia mdundiko hadi unajikuta umefika mtaa wa mbaali na nyumbani...kurudi sasa ndio issue,na giza limeingia,so una uhakika wa kumkuta mama ankusubiri mlangoni na bakora
11.kuweka foleeni kwa mawe enzi Ile mnasubiri mgawo wa sukari au mchele duka la kaya
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom