A drunkard

Kyanyundu

Member
Mar 19, 2012
22
1
Njemba 1 ilikua imelewa, ikawa inatembea road mara ikaona taa 2 mbele, kulia na kushoto, ikasema hawa bodaboda vp; ikasimama katikati ya road; da kushangaa kidogo kumbe ni bonge la fuso limeshika break mbele yake!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom