Pole sana, bila shaka mpaka hapo umefikia uwezo wako wa mwisho wa kujishauri, wala usijidhuru maana utakuwa umesababisha hasara kubwa, na wala usimdhuru mke wako.
Mpaka unafikia hatua hii bila shaka kuna mengi nyuma ya pazia
Pengine labda umejaribu kumuuliza mke wako ni kwa nini kamhamisha...
Swali zuri sana, laki na themanini tu roho inamuuma hivyo, je, faida ingekuwa laki 4 kwa mwezi si angemroga kabisa!
Kwenye haya maisha tenda wema, na wema utakulipa siku moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.