Unamblock kabla hajamaliza ku type..Wale wapenda picha inawahusu hii hapa ni pale unapopewa namba na mdada wa facebook alafu akakutumia picha yake whatsapp na hayo ndio huja kutokea.View attachment 908432
Matatizo yako hayo! Picha tu hiyo!Wale wapenda picha inawahusu hii hapa ni pale unapopewa namba na mdada wa facebook alafu akakutumia picha yake whatsapp na hayo ndio huja kutokea.View attachment 908432
Mkuu huyu mbona yuko vyema,sema kakosa matunzo ukichanganya na mazingira.Wale wapenda picha inawahusu hii hapa ni pale unapopewa namba na mdada wa facebook alafu akakutumia picha yake whatsapp na hayo ndio huja kutokea.View attachment 908432