Masanilo,
Ningekujua unaishi wapi basi nisingeumiza kichwa changu.
Lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, mtu mzima hatishwi ny'au, sasa huyo Mwakyembe wenu kama anapika habari ambazo hazipo basi ni mtu wa hatari sana.
Anateka nyara wapiga kura wake huku akiwaomba wamsaidie 2010, nani atampa...