Recent content by Kwiifoenda

  1. K

    Lowassa azungumzia kuanguka kwa Hosni Mubarak

    Lowasa is an idiot, tyranny, stupid and a curse to this nation! He should mute his mouth on public affairs!
  2. K

    Nina mashaka na maamuzi ya wa Misri

    Wamisri wanajua wanachokifanya, hawajakosea hata kidogo, lile ni taifa la kiarabu ambalo watu wake wanaona mbali sana! Na misri dini si jambo la msingi wao wana evolve into liberal politics, hata muslim brotherhood siyo extremists, wanaamini katika liberal islamism! Na wamesema wanataka...
  3. K

    Taarifa ya kikao cha wabunge wa CDM tar 11/2/2011

    Hii thread ina utapiamlo!
  4. K

    Lowassa azungumzia kuanguka kwa Hosni Mubarak

    anataka kuleta laana Tanzania!
  5. K

    vipi kuhusu zitto

    udini ni lugha ya watu waliofilisika kifikra! Huyu binti anatakiwa asaidiwe kufikiri vema!
  6. K

    Sarah Palin Blasts Obama's Handling Of Egypt

    Sarah Palin ni mtu mshenzi sana! Anapenda sana siasa za chuki, visasi, ubaguzi na mauaji! Alikuwa nyuma ya kupigwa risasi kwa seneta Giffords! Ukisikiliza hotuba zake utagundua ni mweupe, siyo wa rangi bali wa akili! She is a political terrorist!
  7. K

    Tensions rise in Italy over Silvio Berlusconi sex charges

    Nakumbuka mara ya mwisho Silvio aliponea kwa kura tatu katika kura ya kutokuwa na imani naye, sijui aliponyoka vipi! Wakati huu atasalimika!
  8. K

    Middle East braces for more protest after Mubarak resigns

    We are eager to initiate mass protests like our fellows have done in the North! We are dying for that moment here in Tanzania! Our regime has forgotten the SOLE PURPOSE of its existence! We are pro-change that can restore the stolen African humanity, pride and integrity!
  9. K

    Mubarak refuses to stand down

    makamu wa rais Suleiman Omar kateuliwa wiki juzi tu na Mubarak, sasa atapata wapi uhalali wa mamlaka? Mana hakuchaguliwa na wananchi kwa pamoja na Mubarak! Jeshi likichukua ni sawa ili kusimamia serikali ya kipindi cha mpito kuelekea uchaguzi mkuu! Na kiukweli chama cha Mubarak kitaivuruga sana...
  10. K

    JK aiona CCM ni nyoka mzee!!!!!!!!!!!!!!!!

    Kuna jambo moja hatupaswi kulipuuza katika hotuba ya rais kwa chama! Nalo ni suala la katiba mpya! Nampongeza kikwete kwa hili na vyovyote vile itakavyokuwa, na hata njia itakayotumika, sisi wananchi ndio msingi wa Katiba mpya! Lazima nikiri tuna bahati sana, kwamba kama tutakuwa makini na...
  11. K

    JK aponda maandamano ya Arusha

    mmesahau kuwa kikwete ni cheki bobu?
  12. K

    Kikwete ajisafisha Dowans

    Sijawahi kumwona rais mnafiki kama kikwete! Mi nikimwona anaongea kwenye tv, huwa lazima nibadilishe channel mana lazima atanikera!
  13. K

    Vyombo vya Usalama vya Misri VS Vyombo vya usalama Tanzania

    Jeshi la Misri limetoa somo jipya kwa majeshi ya Afrika yanayofikiri kuua raia wao tena wasio na hatia ni jambo kifahari! Abrahaman Shimbo na Said Mwema mmeisoma hiyo ya Misri?
  14. K

    TBC1 wamdhihaki Dk Slaa Mkutano wa Mabibo na wanavyuo ktk kipindi cha Fataki la wiki

    Acha wamtukane sana, maana akitukanwa sana wanamwongezea umaarufu tu! Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe!
Back
Top Bottom