Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Wakurugenzi watatu, Irenei Kiria (SIKIKA), Francis Kiwanga (LHRC) na Emanuel Massawe (LEAT) wamefanikiwa kufile zuio/objection kupinga kulipwa Dowans.
Taarifa za kuaminika ni kwamba kesi hiyo imeshapangiwa Jaji.
Wito unatolewa kwa wananchi wote kuhakikisha kila siku kesi hiyo ikitajwa wananchi wote wanajitokeza mahakamani kuonyesha nia yao na umoja wao kupinga tuzo hiyo.