Taarifa ya kikao cha wabunge wa CDM tar 11/2/2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya kikao cha wabunge wa CDM tar 11/2/2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipindupindu, Feb 12, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jana mara baada ya kikao cha bunge wabunge wa chadema walikutana.
  Je unafahamu maazimio waliyofikia?
   
 2. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  SIfahamu, km wafahamu tujuze basi au???
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  I'm listening!!!
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,817
  Trophy Points: 280
  Bila shaka moja ya ajenda ilikuwa ni kuzungumza upupu wa Shibuda alioutoa kule Bungeni, labda tutayasikia yaliyojiri.

   
 5. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni hilo tu??kile kinote cha mnyika kilitoka muda gani?kabla au baada ya shibuda kuongea?
   
 6. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  seriously shibuda hastaili kubaki ndani ya chadema,anataka kuvuruga chama.Ni vema kama atakamewa mapema kabla hajaleta madhara.
   
 7. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  mh! natamani kusikia kilichojiri
   
 8. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna mgogoro juu ya Baraza la Mawaziri Kivuli.

  Mbowe amejaza Wachagga na wabunge wengine wa mikoa ya Kaskazini. Zitto amesema haiwezekani.

  Ni mgogoro mkubwa. Dr Kitila anatarajiwa kupewa kazi nyingine ya kutafuta formula ya kuwapata.

  Chama cha ajabu hiki. Ndio maana hata Mbunge wa UK aliyekuwa bungeni siku Mbowe alipoongoza maandamano ya kutoka nje hakuamini macho yake.

  Mhe Naibu Spika alieleza kuwa Mbunge huyo ambaye huko kwao ni wa upinzani kama Mbowe aliuliza swali hili:-
  'IS IT NORMAL IN TANZANIA FOR A POLITICAL PARTY TO COMMIT POLITICAL SUICIDE LIKE WHAT CHADEMA DID TODAY?'
   
 9. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kishongo watu wengi tuliangalia bunge siku ile,hakuna sehemu yoyote iliyotamkwa CHADEMA committed political suicide but it was just a political party
   
 10. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Thread haina mashiko,,,,,
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kishongo Shapata Mume? I'm Single and looking
   
 12. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Kama huna hoja si lazima ujaze upuuzi kwenye forum.
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Upuuzi Kutongoza?
   
 14. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hivi ni lazima uandika hata kama there is no sense on what ur writing.
   
 15. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Please Please kapoloto Leave alone my Kishongo
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Turudi kwenye topic wakuu.
   
 17. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ni kweli Mkuu, Naomba ninyi Mrudi kwenye Topic Ila Baby Kishongo wangu mniache sasa hivi tutahamia Faragha
   
 18. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nyekundu: hayo maneno alinukuu naibu spika alipokuwa akirejea mazungumzo yao mchana wa siku ile kabla hata Chadema hawajatoka bungeni. kwa hiyo uomdoe upupu wako wapa. Hivyo hayo maneno 'like what Chadema did today' ni maneno yako uliyojiundia.

  Hata hivyo muktadha wa sentensi hiyo haujaeleweka, kwamba alitamka maneno hayo akiwamaanisha nini. Inawezekana alisema vile kwa sababu ya kitendo cha Cheyo aliyemwambia Zitto;"shut your mouth" wakati ni mpinzani mwenzake.

  Hata kama mtakuja watu kama wewe kuishushua Chadema humu jamvini na kuipamba CCM wala hautaeleweka kwa wananchi. mtahangaika na CCM yenu lakini hakika zimebaki siku chache tutafanya kama Tunisia na Misri.msidhani mtaiweza nguvu ya umma. wabunge wetu mnawazuia kwa kununi. subirini wananchi hatuhitaji kanuni.uamuzi ni mmoja tu, Kikwete aondoke madarakani.
   
 19. K

  Kwiifoenda Member

  #19
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii thread ina utapiamlo!
   
 20. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jaribu kukumbuka vizuri.
  Naibu Spika alitamka maneno haya wakati akihitimisha hoja na wabunge wa cdm walikuwa bado nje.
   
Loading...