Recent content by kwenyula

  1. kwenyula

    Naomba serikali ifanye utafiti kubaini chanzo na tiba ya tatizo hili

    Vijana wengi wenye umri chini ya miaka 35 tunapata vipara. Vipara vinaondoa muonekano mzuri wa vijana na kuonekana wazee. Nimeleta hii mada nikiwa kama muhanga. Naomba serikali kupitia wizara ya Afya ifanye utafiti juu ya hili tatizo ili kubaina chanzo ni nini na suluhisho lake. Tunatesema na...
  2. kwenyula

    Nashida ya kukodi majoho ya graduation

    Nataka at least 20
  3. kwenyula

    Nashida ya kukodi majoho ya graduation

    Nicheck kwenye namba yangu hiyo
  4. kwenyula

    Nashida ya kukodi majoho ya graduation

    Kama kuna mtu anakodisha majoho please anicheck 0625547961
  5. kwenyula

    Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Ninacho nicheck kwa 0625547961 ni gari yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kwenyula

    Hivi ni kweli Watanzania hatuoni faida ya kuwa na Upinzani imara?

    Hakuna kitu roho inaniuma kama kuona Upinzani nchi hii wakiwa wanazongwa kila kona. Wanaonekana hawaitakii mema nchi hii; wananyanyasika, hata wakipata matatizo wanachekwa, wamerundikiwa kesi lukuki kila kukicha mahakamani mara polisi yaani hata zile haki zao za kikatiba wananyimwa na Watanzania...
  7. kwenyula

    Je ni sahihi kuchaji laptop muda wote?

    Ktukiachilia mbali majibu ya kitaaluma. Mi nina laptop lenovo toka 2012 hadi leo haijafa betri na mara nyingi sana huwa natumia nikiwa nimeweka kwenye power. Na hadi leo muda inayotumia kutunza charge haujashuka. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kwenyula

    Master J na BSS

    Point ya mleta mada ipo clear. Huwezi kumsema mshiriki vile wakati bado yupo kwenye mashindano. Halafu kwa namna anavyoimba Hamis na kupiga gita ukisema hajui kitu huo unakuwa uchawi. Bss ya awamu hii inawashiriki wa kawaida sana ambao ni level yake kabisa. Master J anaonekana wazi huwa...
  9. kwenyula

    Tamaa mbaya ambayo si ya kawaida, siridhiki na mwanamke mmoja

    We tamaa yako mbona ya kawaida sana. Wengine hapa achilia mbali wabibi na mimama tunatolea macho ndugu wa aina yoyote yaani hata bibi yake na mke wangu na istoshe hadi wale wanaume wenye sura za kike. Acha bana we huna tamaa
  10. kwenyula

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Unataka aya au Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kwenyula

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Kama roho haiwezi kudhibitiwa vipi sasa shetani itawezekana vipi kudhibitia ili aingie motoni na asitoke njee? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kwenyula

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Kwa mujibu wa Islam Shetani ndio kiumbe wa mwisho kuingia motoni. Kwa mantini kwamba endapo wakosaji watachomwa moto huko milele basi shetani ndio atakuwa kiumbe ambae atakuwa amechomwa moto kwa muda mchache kuliko wengine woto maana yeye ndio alikuwa wa mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kwenyula

    Dudubaya hana kosa la jinai bali hana maadili

    Naomba kutanguliza samahani kama kuna mtu nitamkwaza. Hivi kumsema vibaya marehemu ni kosa kisheria? Kwa kuzingatia unayosema ni ukweli. Mfano. Marehemu alikua mzinifu na kweli alikua mzinifu. Je, ni kosa? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kwenyula

    Nauza iphone5s

    Mi sihitaji sim. Sorry
Back
Top Bottom