WANAHARAKATI wa masuala ya kisiasa akiwemo aliyewahi kuwa mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbpo la Mkuranga Kunje Ngombale Mwiru, wamewataka watanzania kuachana na siasa ‘uchwara’ wanazodai kufanywa na vyama vilivyotangaza kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za...
Kwa Hivi sasa Jiji la Arusha lina shule mbili tu zinazopokea wanafunzi wa Kidato cha Tano ambazo ni Arusha Sec n Arusha Girls.
Kutokana na ongezeko la wanafunzi wanaofaulu kidato na Nne na namna ambavyo shule zilizopo zinavyopokea idadi kubwa ya wanafunzi wa kidato cha Tano Mkuu wa Wilaya ya...
Ufinyu wa Mapato ya ndani ni dondandugu kwa Halmashauri nyingi hapa Tanzania. Kwa miaka na miaka kumekuwa na kilio cha Halmashauri kushindwa kukusanya mapato na kutegemea fadhila za mapato Serikali kuu jambo linaloweka vizingiti kwa maendeleo katika maeneo yao.
Hali ni tofauti huko Arusha...
Mkurugenzi wa jiji la Arusha Ndg. Athumani J. Kihamia amezindua na kukabidhi vyumba vitano vya madarasa katika shule ya msingi Murriet sambamba na kukabidhi madawati zaidi ya 100 Katika Shule hiyo.
Katika Hafla hiyo Ndg. Kihamia amesema lengo la Halmashauri ni kuboresha utoaji wa Elimu...
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha Dokta Frida Mokiti amesema kuwa uhaba wa vituo vya afya katika maeneo ya pembezoni mwa miji umekua ukichangia vifo vya mama wajawazito na watoto kutokana na kutembea umbali mrefu kutafuta huduma hiyo.
Akizungumza katika Kikao kazi cha Mkoa kinachojadili hali ya...
Kama kusoma hujui hata Picha Fedha za Sacos zinapelekwaje Halmashauri hizo Fedha zimetokana na Mapato ya Halmashauri Hakuna anayetafta Kick APo ni utaratibu wa kawaida wa Utendaji kazi wa Viongozi
Wa Serikali
Hahah Chadema bwana kweli Chenga Mmeliwa na kufunga hamfungiiii Role ya Gambo ni kuhakikisha kwamba Halmashuri zinatekeleza Ilani na ndio hii ameisimamia mpaka Fedha za kutoka Mikopo zimepatika!
Rc Gambo amekabidhi hundi kwa Vikundi 125 kwa Vikundi vya Wanawake na Vijana
Mikopo hii inatolewa na Halmashauri kwa Mujibu wa Sheria na Utekelezaji wa Ilani lengo ni kuwainua wananwake na Vijana.
Sheria inaelekeza asilimia kumi ya Mapato ya Ndani itolewe Kama Mikopo kwa makundi hayo kwa riba...
Ivi mnachokataa ni Nini Kama Sio Uongozi bora wa Rc Arusha ndio unaleta mafanikio ya Jiji la Arusha kwani ni Halmashauri ngapi ziko China ya Chadema hazijaweza kutoa Mikopo hata Mil Moja mpaka Leo huyu ni Gambo na sio Madiwani wala Meya wa Chadema
Mafunzo yalifunguliwa na Rc na Mikopo kukabidhiwa na Rc Meya na Madiwani walienda kufunga mafunzo off course fedha ni za Halmashauri na Inatekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi China ya Usimamizi wa Gambo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.