kwedikwazu
Member
- Dec 17, 2016
- 18
- 15
Hawa jamaa wamejipanga, natamani ningekuwa nao, niwape maujanja zaidi
Mkuu kipi ambacho hujaelewa, hawa vijana wapo mahususi kuirudisha CCM kwenye fomu kwa kuwa karibu na kutatua kero za wananchi.Nadhani umenielewaWamejipanga na nini? Kutembelea wananchi nako ni kujipanga?
Acha umaandazi basi dada.Mnatafutiana kiki tu humu