Halmashauri ya Jiji la Arusha chini ya CHADEMA yatoa mikopo ya 624mil kwa wanawake na vijana

Hizo pesa hutolewa na Mkurugenzi wa jiji,baraza la madiwani, Nafasi ya mkuu wa mkoa kwenye mipango hiyo haipo usidanganye watu hapa.
 
Bila hiyo Ilani hizo fedha zisingekuwepo...Nioneshe Ilani ya Chadema kwenye nyanja hiii if at all Chadema kama ina ilani.
Nikikujibu nitakuwa najishushia hadhi, maana sinaga tabia ya kujibizana na mashetani.
 
Hahah Chadema bwana kweli Chenga Mmeliwa na kufunga hamfungiiii Role ya Gambo ni kuhakikisha kwamba Halmashuri zinatekeleza Ilani na ndio hii ameisimamia mpaka Fedha za kutoka Mikopo zimepatika!
 
Maigizo yale yale. Huyu ni mpiga dili. Ngoja tufatilie riba ya iyo mikopo. Kuna ujanja apa. Aligawa pikipiki za million mbili ila baada ya mwaka waliokopeshwa watalipa 2.9.

Fedha hizi zinatolewa kwa Mujibu wa Sheria na Riba yake ni asilimia kumi tu Hakuna zaidi lengo sio kufanya biashara Bali kusaidia Wananchi
 
Katika ilani ya CCM nenda Kasome SURA YA TANO KUHUSU UWEZESHAJI WA WANANCHI angalia ukurasa wa 94 .Kifungu 63 kifungu kidogo D.
Naona mnajifurahisha.Check za mkopo zimetolewa.na Halmashauri chini ya CDM. Walianza na Kinondoni, Leo Arusha kazi.ya Gambo ni kuweka watu jela,a subiri kuweka watu jela
 
Unajidanganya wewe. Hebu fatilia kama izo pesa zimetoka serikalini. Yani izo pesa utakuta za sacoss walikuwa na mpango wa kukopeshana sasa ili kutafta kiki wanajifanya kagawa gambo. Ni sawa na zile bodaboda. Uo mradi ulikuwepo muda mrefu sana sasa serikali imeuingilia.

Kama kusoma hujui hata Picha Fedha za Sacos zinapelekwaje Halmashauri hizo Fedha zimetokana na Mapato ya Halmashauri Hakuna anayetafta Kick APo ni utaratibu wa kawaida wa Utendaji kazi wa Viongozi
Wa Serikali
 
Unajidanganya wewe. Hebu fatilia kama izo pesa zimetoka serikalini. Yani izo pesa utakuta za sacoss walikuwa na mpango wa kukopeshana sasa ili kutafta kiki wanajifanya kagawa gambo. Ni sawa na zile bodaboda. Uo mradi ulikuwepo muda mrefu sana sasa serikali imeuingilia.
Hili lilitoka toka asubuhi ikimuonyesha Meya Kalist akiongea waongo hao CCM sana wanaziba walupoharibu baada ya kuweka Raia jela na RC kuwakatalia Dhamana
 
Gambo anatumia nguvu kubwa sana katika kuusaka Ubunge wa Arusha mjini, sujui kama atafanikiwa
Ni rahisi mbuzi mwenye kadi ya cdm kuchaguliwa kuliko mwanaccm kuukwaa ubunge Arusha
 
Back
Top Bottom