Recent content by Kv-london

  1. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

    Mm mwenywe Salary yang ni 1.15m Ila naona ni pesa ndog tu Kuna mwanang mmoja ni seaman per month ankunja $4200
  2. Kv-london

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi vibinti vya 2005 hadi 2010 nani ameviroga? Hii stamina na libido vimeitoa wapi?

    Mm kwq sasa mwisho 3 tu Then kuna pisi yangu ilishanifundish how to do it within 45min -1hrs bila kumwaga I do enjoy it a lot Mapenz ni hisia tu nothing else
  3. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Msichana anaomba kazi yoyote halali

    Ila isiwe kazi ya bar au house girl
  4. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Msichana anaomba kazi yoyote halali

    Habar wapendwa Kuna huyu dada angu ana miaka 25 Elimu kidato cha one Amesomea utalii ngazi ya certificate Anaomba muamsaidie kazi yoyote halali ambayo anaweza kujiingizia kipato Anapatikana moshi kilimanjaro Anaweza kufanya kazi mahali popote yupo tayar Mawasiliano+255760119470
  5. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora kati ya hizi mbili: Sinoray 250cc au Honlg 250cc

    Mchukue sinyo hatar sana ndio nnayitumia kwa sasa
  6. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Matron and patron needed

    Habar yenu wapendwa tunahitaji Matron (1) na Patron(1). Watafanya kazi kwenye shule ya hostel, shule ni ya serekali. Shule ipo kilimanjaro wilaya ya moshi marangu-kilema, Opposite na maua seminary. Sifa za Matron Awe 30+ Awe awesomea ualimu au nursing Awe mkali kwa watoto Kusimamia watoto...
  7. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na biashara ya mkataba kwa bodaboda na bajaji naomba mnielimishe

    Nina fanya hiyo business muda mrefu sema nina uvivu wa kuandika tu ila anyway Inategemea maeneo uliyopo pikipk pendwa ni zip kqa mfano huku nlipo sinoray ndio bike vijana wanazipnda Mpya bei 2.65m So unampaka mkataba wa 60weeks anakultea 70000 kila week Kila kitu ni kwake akimaliza bike inakuwa...
  8. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Zambia walitaka kunifunga kisa kuongeza siku

    Mbona hai wapole ulishawah kufuka turkey ww Kila overstay lazima uilipie dola 15 siku utakapo fika Airport Sasa just imagine ume overstay 50 days Ni ww tu kuamua ujae gerezan siku 50 au ulipe fine yao uende kwenu
  9. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

    Afasali umemchana ,akomae na matatizo yake ,coz kila mtu nae pia Ana matatizo yake Tunaamua tu kukausha tunakimaa nayo yanaisha
  10. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Milioni 50 NMB na CRDB riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?

    Inategemea kama ni mkopo wa wafanyakzi au business man Riba zinakuwa flactuatead
  11. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Bajeti yako kwa siku ni shilingi ngapi kwa wewe mwenye familia?

    Mm sinaga utaratibu wa kuacha pesa kila siku But Nanunua gas Mafuta ya kupikia 5L Sabuni 5bar Sukari 5kg Nalipa umeme na maji Then naacha 120000 matumizi ya mboga mwezi mzima
  12. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Math/ Physics and Computer Studies anahitajika

    Ahsante sis tunahitaji mwalimu wa physics na MATHEMATICS chemistry na biolojia tunao wa kutosha Thank you
  13. Kv-london

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa CRDB afariki akifanya mazoezi Daraja la Tanzanite

    Sawa,tumekuelewa kufa kufaana soon wanangu watapa kazi nao Waanze kuweka ugali mezan
  14. Kv-london

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikifanya hiki kitendo kwa mwanamke, nini kitatokea?

    We utoto unakusumbua tu When you grow up you will understand what I mean Enjoy ur childhood son
  15. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Kwa namna ambavyo inaelezwa tukio la kukamatwa Mdude, ni vigumu sana kupatikana tena!

    Ndio mana Diaspora ukiwaambia warud nyumbni hawakuelewi hata kidogo Hapa usalam ni mdogo kama Fr.kitume nae anashambuliwa na kujeruhuwa Nan ndan ya nchu hii yupo Salam Labda hao watekaji wenywe ndio wapo salama
Back
Top Bottom