Hebu piga post
https://www.jamiiforums.com/threads/hii-idea-naigawa-kwa-wenye-kuhitaji-kijana-pambania-fursa-usiwaze-kununua-gari-wekeza-katika-biashara.1951338/
Sio ajabu Tena Hilo Ni dogo kabisa, Kumbuka Sheikh Amri Abeid Kaluta alikuwa Ni Muislamu wa Ahmadiyya Muslim Jamaat.
Waislam wa Waahmadiyya wanaimani(itikadi) kuwa Nabii Isa/Yesu a.s hayuko Mbunguni Kama inavyoaminiwa na Waislam wengine (na wakristo pia) Bali Waahmadiyya wanaamini kuwa Nabii...
Uongo mtupu. Leteni huo ukurasa wa Hilo gazeti tuusome. Sio kutuketea ngonjera hapa baada ya kuwa tukio limeshatokea halaf ndo museme utabiri. Hakuna utabiri Kama huo
Usha
Naomba ushahidi wa hili Suala kuwa wayahudi walihesabu siku kwa masaa 12 na sio 24
Na Kama ni hivyo ina Maana Baadhi ya siku zilikuwa ni Usiku pekee bila mchana au mchana pekee bila usiku.
Ikumbukwe kwamba wayahudi walikusudia Kumsulubisha YESU (kumuua juu ya Msalaba) ili kuithibitishia Jamii kuwa YESU sio ukweli bali ni Mlaaniwa, hivyo kwa maneno Haya ya YESU ambayo umeyanukuu yanatoa jibu kuwa Njama za Nitaka nife juu ya Msalaba hazita tumia badala yake NITAINGIA KATIKA MOYO WA...
Kwa maoni yangu ni kuwa Bishara hiyo ya Yesu ilikusudia kuonesha kwamba YEYE YESU HATOUWAWA bali ATAINGIZWA KATIKA MOYO WA NCHI AKIWA BADO ANAO UHAI WAKE KAMA AMBAYO YONA ALIINGIA KWENYE TUMBO LA NYANGUMI AKIWA NA UHAI WAKE
Na hiyo Ndiyo hali pekee inayoweze kuwa fananisha YESU na YONA kwenye...
Kwanza nikusahihishe. Yule wa Zanzibar hakuwa anaitwa Amri Abeid bali jina lake lilikie Amani Abeid Karume.....Amri Abeid ni mtu mwingine ambae alikuwa Meya wa Kwanza Muafrica wa Jiji la Dar es salaam, waziri wa kwanza wa Sheria baada ya Uhuru, Mbunge wa Kigoma Magharibi, Muandishi wa Kitabu...
Kwa fais
Ahsante na hongera kwa kutuletea Uzi huu, bali kuna makosa makubwa ya kiuelewa juu ya Aya ya Qur'an uliyoinukuu.
Kilichosemwa na Qur'an ni cha kweli bali ww ndiwe haujakielewa.
Baadae InshaAllah nita leta ufafanuzi Kwa faida ya wana JF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.