pundadumeafrika
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,619
- 2,074
Chain ya korosho ni kubwa sana. Hakuwa updated kanisa..Huu ndiyo ugonjwa wake. Maamuzi haya ya jazba aliyafanya ili kumziba mdomo Zitto Kabwe
Daah! Itakuwa kivumbi keshoKOROSHO
Jeshi lanyoosha mikono, lakimbia uwanja wa mapambano. Sasa wafanyabiashara waombwa kuokoa jahazi
Hiyo ni headline ya MWANANCHI
Naona unahangaika sana na korosho mkuu!! Naona unaweweseka tu!Baada kuwang'oa akina Charles wawili ( waziri wa kilimo na yule wa viwanda). Naona korosho ina mpango wa kuondoka na mkuu wa operesheni korosho.
Maana haingii akilini jeshi limpe taarifa za uongo amiri jeshi mkuu kwamba wanaweza kusomba korosho zote na kuzibangua hata kwa meno, halafu wiki 2 baadaye wanaomba poo.
Hapa kichwa cha mkuu wa operesheni kinatafutwa na roho mbaya ya korosho.
Hivi kweli jeshi mlishindwa kufanya tathimini ya kina na kisha kumpa amiri jeshi mkuu mrejesho sahihi ya kwamba kazi ya kusomba korosho ni ngumu na itawashinda?
Sasa angalia fedheha hii. Kesho itaandikwa kwenye magazeti yote kwamba "Jeshi lashindwa kukusanya korosho na kuzibangua!"
Hahaha! Mambo ya wahenga hayoAma kweli waswahili waliona mbali mpaka kuupa msemo mbaya zao hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Weweeeeee!!,Jiwe ukimpa taarifa ya ukweli utapoteza kazi,ndo maana wanamdanganya kwakuwa anapenda misifa!Baada kuwang'oa akina Charles wawili ( waziri wa kilimo na yule wa viwanda). Naona korosho ina mpango wa kuondoka na mkuu wa operesheni korosho.
Maana haingii akilini jeshi limpe taarifa za uongo amiri jeshi mkuu kwamba wanaweza kusomba korosho zote na kuzibangua hata kwa meno, halafu wiki 2 baadaye wanaomba poo.
Hapa kichwa cha mkuu wa operesheni kinatafutwa na roho mbaya ya korosho.
Hivi kweli jeshi mlishindwa kufanya tathimini ya kina na kisha kumpa amiri jeshi mkuu mrejesho sahihi ya kwamba kazi ya kusomba korosho ni ngumu na itawashinda?
Sasa angalia fedheha hii. Kesho itaandikwa kwenye magazeti yote kwamba "Jeshi lashindwa kukusanya korosho na kuzibangua!"
Hashauriki yule baba......Tatizo ni la wakuu wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanamugopa rais badala ya kumshauri ndio madhara take haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana nyingine geshi limetumika kuwapora baadhi ya wananchi.Muda mwingi walijikita kukagua kama muuza korosho ana shamba au ni dalali na kupokonya korosho zote za muuzaji asiye na shamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uanalojia!Naogopa sana kukomenti kwenye mambo ya jeshi. Mnamkumbuka yule mwandishi alieandika kuhusu kifaru cha jeshi?
Biashara hyo ya korosho inawenyeweJeshi la Wananchi wa Tanzania lasalimu amri mbele ya Korosho.
Wakome kutumika kipuuziJeshi la Wananchi wa Tanzania lasalimu amri mbele ya Korosho.
Mzee kuhusu soko ilielezwa tutanunua Kila mwananchi 2kgTatizo korosho zilikuwa zinakula hela hata kabla hazijauzwa.
Utoe magari yaende mtwara na kurudi.HAYO MAFUTA YAKE SIO MCHEZO.
BADO POSHO,BADO HAMJAWALIPA WAKULIMA.BADO KUBANGUA N.K.
Kinachoumiza zaidi SOKO HAMNAA.
Sent using Jamii Forums mobile app