Recent content by kussy

  1. kussy

    Mke wangu aliniacha na kwenda kuishi X wake, sasa anataka turudiane

    Mzee huyu mwanamke si wa kurudiana naye, ndoa alishaifuta alipoenda kuishi na X wake, achana naye kabisa.
  2. kussy

    Joining instruction za Mzumbe sekondari

    nilikuwa nahitaji ya kidato cha kwanza
  3. kussy

    Joining instruction za Mzumbe sekondari

    HABARI WADAU NAWEZA PATA JOINING INSTRUCTIONS YA MZUMBE SEKONDARI KWA KIDATO CHA KWANZA 2025, NIMEJARIBU MTANDAONI MPAKA SITE YA TAMISEMI SIJAFANIKIWA
  4. kussy

    Msaada: Gari Kushtuka ikiwa kwenye mwendo mdogo

    I have the same issue with my Nissan, nafanya mchakato nimuone Jitu
  5. kussy

    Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

    Chunya moja! dhahabu kwa wingi
  6. kussy

    Naomba Ushauri: Binti yangu amepangiwa Chuo na huku alishaanza masomo ya Pre-Form 5

    sio kwa kozi hiyo, ni bora umpeleke mwanao Advance akasome hiyo HGE. Kwa chuo ni bora asome clinical Officer
  7. kussy

    Kibali cha Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto

    leseni imetoewa kwa jamaa hao wawili, wengine wote hamruhusiwi
  8. kussy

    Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    nunua Kaka huoni zilivyo nyingi mtaani, ondoa mashaka
  9. kussy

    Changamoto ya vumbi nyeupe nyumbani

    Habari Wadau! Kuna changamoto nimeiona hapa nyumbani kwangu nisipotumia vitu kwa muda mrefu especially viatu vinakuwa na vumbi fulani jeupe, hata nguo zisizovaliwa kwa muda mrefu zinakuwa na harufu fulani ya vumbi. Hii inaweza kuwa inasababishwa na nini Wadau?
Back
Top Bottom