Nimechoka, naenda kununua gari

Nimechoka, naenda kununua gari

! DON'T !
SABABU ZAKO hazina maana na hazitakusaidia bali kukuingiza katika madeni yasiyo na maana.
MATAJIRI hununua assets ili ziwaingizie pesa hata wakiwa wanasinzia. Lakini watu MASIKINI acquire liabilities wakidhani ni assets
Gari siyo asset .
 
Trust me. Kwa DSM usipokuwa na gari status yako ni ndogo sana. Fedheha ya kuwa na deni ni ndogo sana ukilinganisha na kuwa na gari. Nilienda kwene kikao cha harusi wote walikuja na magari kasoro mimi na ninavuja jasho balaa. Nilikaa kwa unyonge sana siku hiyo.

Nilivotoka nikasema sasa sisikilizi mtu nilivoamka nikawahi bank nikakutana na dada wa mikopo nikamwambia nataka kukopa mil. 20 nikapewa mkopo within 2 weeks. Nikadaka ndinga. Guess what? Hio milioni ishirini niliipata baada ya miezi mi4. Niliitwa somewhere kuna dili la maana nikatinga na ndinga yangu suti ya maana nikasaini mkataba fasta. Maisha yakaendelea.

Acha kusikiliza watu humu hatujuani. Hata mimi niliyoyaandika usiyape kipaumbele sana utaumia.

Asalamaleko
haaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom