Haina shida kabisa 100% 100%Kuanzia vifaa kupatikana je km kuna usumbufu wwote na vingine itakuwa vzur ukishare experience yako
🤣🤣Anaulizia apate uhakika zaidi anaogopa kupark gari kusubiri kifaa kutoka ulayaMtu aliyepo Dar kuulizia upatikanaji wa spares kwa magari yaliyopo bongo tayari huwa sielewi.
Watu wapo mikoani tena wilayani kwa ndani na wanamiliki hayo magari.
Iko poa sana aiseeHii gari ina muonekano mzuri sanaa hasa Kwa barabara zetu hii gari inafaa zaidi.
Kama ningekuwa na pesa ningenunua hii gari