Recent content by kusisimba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kuhusu hili.

    Mzee hata hutakiwi kuwa na wacwac maana ulichojaza hata hakipo, kwahiyo huwezi kosea ww, mmana hata wao wameweka , a wrong choice
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

    Huu ndo wakati muafaka kwa bunge kuonyesha meno yake juu yakile wanachokiamini zaidi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Hopeful maamuzi magumu yameanza kuchukuliwa sasa, lets play God tuone mwisho wake.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Shibuda achangia bajeti ya waziri mkuu; ataka posho ziongezwe kwa jina jipya

    Huyu mwenzawazimu kweli!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Pre- entry ya diploma tanzania.

    Pre- entry ya diploma Tanzania. Ndugu wadau wa JF currently kuna mchakato wa kozi ya pre-entry ya dipoloma kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi na hisabati wenye ufaulu wa S na E. Na kwabahati mbaya wamekuja na msamiati wao wanaita BRIDGING COURSE ambayo itafundishwa kwa miezi mitatu halafu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Pre- entry ya diploma tanzania.

    Ndugu wadau wa JF currently kuna mchakato wa kozi ya pre-entry ya dipoloma kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi na hisabati pamoja na kiingereza wenye ufaulu wa S na E. Na kwabahati mbaya wamekuja na msamiati wao wanaita BRIDGING COURSE ambayo itafundishwa kwa miezi mitatu halafu baadae watajiunga...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kushukuru......mmenitoa mbali

    uungwana ni kushukuru. thanks
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nimfanyeje kiumbe huyu.....?

    Biboe nyoka huwa hamuumi mtu mara mbili. Omba mungu umepona ww sepa tu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Shein amwaapisha Fatma Gharib Bilal kuwa katibu mkuu wizara ya maendeleo ya jamii

    aaaaahaaaaaaaaaaaaaaaa. we Tanzanians, these seems to be common practices to us, you just imagine what had influenced this president?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Si Ushabiki Nauliza Tu

    Mwanajanvi nakupongeza kwanamna ulivyoanza, ingawa umeonyesha uoga wa waziwazi ktk kuuliza. Hizi kauli mbiu mara nyingi hujitokez wakati ule mambo ya uchaguzi ukikaribia. Kwasasa ziko "domant"
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa posho na kodi bado wawaka Bungeni; Lissu awawashia moto CCM

    Hopeful wamesikia lakini watatekeleza?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge kumng'oa Spika Anne Makinda?

    Hivi source yako inaweza ikawa reliable kweli? Yanayofanywa si kwabahati mbaya hata kidogo, sasaukisema ataondolewa, is something contradicting.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Aluta continua, safi sana Mbowe....
  14. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kidedea kijiji cha Kabiga Geita

    Ninafikiri ni mwanzo mzuri wana jamvi.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ikulu yaandaa habari kuchafua wabunge wa CHADEMA

    Thanks kiranja for informing.
Back
Top Bottom