Nimfanyeje kiumbe huyu.....?

Kwani unafikir ukimwacha ndo hutopata mwingine? Nakuhakikishia kuwa mwingine utampata tu dadaangu, na atakua na wengine kama ukiendelea kubana hvyo vijipaja vyako....Mi ningekuchukua ila utanisumbua na hako katabia kako ka kubana miguu.
 
umeshachukua uamz wa kuachana nae, ushauri unaomba wa nn tena dada.

Hujajua mapenzi yanavyochanganya wewe,huyo ameacha physically,emotionally bado yuko naye hivyo ni kama hajafanya maamuzi.Mi namshauri aisikilize sauti itokayo ndani ya moyo wake(inner child),atumie akili kutafakari sauti hiyo na afanye maamuzi haraka sana.Asikubali hisia zisimpeleke kusiko.Mi sioni kama hapo alihitaji hata kuuliza cha kufanya, hivi wewe ladywho,huoni kuwa hapo kwa jamaa si nyumba ya kuishi bali ni Danguro?????????????
 
Katika mazingira ya siku hizi ni vigumu sisi kukubali 'hujapanua mguu' mwaka mzima,halafu kama hamjakuwa wapenzi kwanini ikuume hivi ? pia kubana kwako saaana pia kunaweza kuchangia yeye kucheza mechi za nje.
 
Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko wa huo upenzi we2, nyumba, gari kazi nzur anavyo...ila tabia yake sasa. Ktk pekua pekua ya kike, nimekuta nguo za wanawake 5 tofauti zimeifadhiwa chumba cha pili ktk mafurush, simu yake msg za wadada km 10 hv wote amechat nao kihatari hatari..ngono! Ckuweza kumezea ivyo nikamuuliza akaruka kuvijua vi2 ivyo na msg akadai wadada wote hao wanamtongoza! Nilishindwa la kusema zaidi ya kujibebea walet yangu na kusepa huku namshukuru Mungu ckuwa nimepanua paja...! SASA ANANISUMBUA, ANATAKA NIMRUDIE, NIMSAMEHE, ATAWAACHA WOTE KWA AJILI YANGU...ANANIKERA...SIMTAKI...NIMFANYEJE FISADI HUYU AACHANE NA KUNISUMBUAA?! Najua hawezi kubadilika kabisaa!
Mrembo pole sana kwa kutendwa na hongera kwa kujitambua mapema. Maamuzi magumu yapo ndani yako mwenyewe!
 
hahahah! hivi lazima upokee simu zake au kujibu message? uchune atajiona mjinga. Pia mpe live kwamba huna time nae.
 
Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko wa huo upenzi we2, nyumba, gari kazi nzur anavyo...ila tabia yake sasa. Ktk pekua pekua ya kike, nimekuta nguo za wanawake 5 tofauti zimeifadhiwa chumba cha pili ktk mafurush, simu yake msg za wadada km 10 hv wote amechat nao kihatari hatari..ngono! Ckuweza kumezea ivyo nikamuuliza akaruka kuvijua vi2 ivyo na msg akadai wadada wote hao wanamtongoza! Nilishindwa la kusema zaidi ya kujibebea walet yangu na kusepa huku namshukuru Mungu ckuwa nimepanua paja...! SASA ANANISUMBUA, ANATAKA NIMRUDIE, NIMSAMEHE, ATAWAACHA WOTE KWA AJILI YANGU...ANANIKERA...SIMTAKI...NIMFANYEJE FISADI HUYU AACHANE NA KUNISUMBUAA?! Najua hawezi kubadilika kabisaa!
Uandishi wako wafanana na wa Not enough!!! Ila sio mbaya hata kama UMEPANUA huwezi tuambia. Unafikiri tutakuonaje jasiri kama hautakataa kama umemegwa?? Napita tu.
 
Dada pole sana,ila kama kweli humtaki siamini kama umeshindwa kukata mawasiliano nae,fikiria vizuri nawe utagunaua njia nyingi sana!
 
Kuna jamaa yangu yeye ni pumziko la wenye uhitaji na wenye kutendwa kama wewe, ni PM nikupeleke kwa jamaa ukapumzike mwaya. achana na hilo fisadi
 
Kwahiyo ana msururu wa walioumizwa eeh?(kwasababu katika tasnia ya mapenzi,waumizwao ni wengi mno)Huyo na yule jamaa yake ladywho watakuwa ngoma droo!
 
Kwa mtizamo wako. Upo ushahidi usio na shaka wa watu waliopendana zaidi ya miaka 5 bila kuvunja amri ya sita.
Kulingana na wasifu ulioutoa kuhusu huyo jamaa (kwamba ni kiwembe) lazima utakuwa umeliwa tu, tena sana. Nakushauri ukapate ushauri nasaha pale AMREF, then upime ngoma ili ujue namna ya kuanza maisha mapya yenye mawazo.
 
Uandishi wako wafanana na wa Not enough!!! Ila sio mbaya hata kama UMEPANUA huwezi tuambia. Unafikiri tutakuonaje jasiri kama hautakataa kama umemegwa?? Napita tu.
wherever, nimemegwa au lah its up to me! We niambie nfanyeje asinifatefate? Thats al!
 
Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko wa huo upenzi we2, nyumba, gari kazi nzur anavyo...ila tabia yake sasa. Ktk pekua pekua ya kike, nimekuta nguo za wanawake 5 tofauti zimeifadhiwa chumba cha pili ktk mafurush, simu yake msg za wadada km 10 hv wote amechat nao kihatari hatari..ngono! Ckuweza kumezea ivyo nikamuuliza akaruka kuvijua vi2 ivyo na msg akadai wadada wote hao wanamtongoza! Nilishindwa la kusema zaidi ya kujibebea walet yangu na kusepa huku namshukuru Mungu ckuwa nimepanua paja...! SASA ANANISUMBUA, ANATAKA NIMRUDIE, NIMSAMEHE, ATAWAACHA WOTE KWA AJILI YANGU...ANANIKERA...SIMTAKI...NIMFANYEJE FISADI HUYU AACHANE NA KUNISUMBUAA?! Najua hawezi kubadilika kabisaa!

ukiona wengi wakonae mpakawanaanza kuachanguo,jua jamaa yuko fresh ktk mambo fulanii na hata matunzo ndo mana kila mmoja anaacha vitu aki aim kurudi na kuweka kambi,jambo la msingi usimpe mambo make sure unajua mustakabali wa mausiano yaliyopita kwa vitendo.kaa karibu na cm yake make sure haipo sailent wala haina call bearing,hakiki ili marakwa mara,utajua ukweli tu.............ila ukithubutu kutanua paja kabla itakula kwako.mm mwenyewe nilikutwa navitu kibao vya x-wangu ndani na msichana nilie panga kuwa nae milele,nilimueleza akaelewa japo ilikua ngumu kidogo,nashukuru alielewa nampaka sas niko nae na soon tuta sign mkataba kanisani wa kuwamke na mme
 
Dada, kama Mungu kakuonyesha mapema vile! Funga kwata, sepa mapema kabla haujaambukizwa magonjwa!
 
Wewe Ladywho wewe sio G wewe, Ina ni touch at, lakini hukukuta Nguo za Mademu na sms 10, ulikuta SMS 1 tu...
Uongo????!!!!!!
Waweza nii inbox Mamy
 
Inaonekana wewe na huyo jamaa
wote nimember hapa

halafu na hao wadada kumi wengi wapo hapa
na usikute ndio hao wanaokupa advice now......

Hii ni bonge la movie kwa kweli.............
 
Wewe Ladywho wewe sio G wewe, Ina ni touch at, lakini hukukuta Nguo za Mademu na sms 10, ulikuta SMS 1 tu...Uongo????!!!!!!Waweza nii inbox Mamy
ndio mimi mpenzi! Kumbe unaitwa bramo humu? Umeona maushauri walionipa watu hapa? Nikumwage, nisirudi utaniuaa
 
Back
Top Bottom