Pre- entry ya diploma tanzania.

kusisimba

Member
May 20, 2011
37
1
Ndugu wadau wa JF currently kuna mchakato wa kozi ya pre-entry ya dipoloma kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi na hisabati pamoja na kiingereza wenye ufaulu wa S na E. Na kwabahati mbaya wamekuja na msamiati wao wanaita BRIDGING COURSE ambayo itafundishwa kwa miezi mitatu halafu baadae watajiunga na Ordinary diploma (masomo ya kawaida ya diploma). Hapa wadau najaribu kuona mantiki ni ipi kwasababu kama tatizo ni kiingreza basi wangekwenda hata ambao wanatarajia kuchukuliwa kwenye masomo mengine maana nao watatumia kiingereza kufundisha na bado hawakifahamu sawasawa . Je wadau huu utaratibu niwaukweli? AU NISEHEMU YA KULA PESA TU YA WATANZANIA? je ndani ya miezi mitatu hawa wanafunzu watakuwa competent zaidi ya miaka miwili waliyokuwa sekonadari? (maana hapa najaribu kutafuta tatizo binafsi silioni kabisa, au assumptions ni kuwa hawa jamaa hawakuelewa vizuri content wakati wakiwa shule) jamani au nimaelekezo ya watoa fungu (wafadhili) ili wachache wale kupitia migongo ya watu ambao eti wamefeli? Kimsingi hawa wanafunzi kwa muda wote wa kozi hii hawatalipia chochote. WADAU HEBU TULITAFAKALI HILI.
 
[h=2]Pre- entry ya diploma Tanzania.[/h]
Ndugu wadau wa JF currently kuna mchakato wa kozi ya pre-entry ya dipoloma kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi na hisabati wenye ufaulu wa S na E. Na kwabahati mbaya wamekuja na msamiati wao wanaita BRIDGING COURSE ambayo itafundishwa kwa miezi mitatu halafu baadae watajiunga na Ordinary diploma. Je wadau huu utaratibu niwaukweli? AU NISEHEMU YA KULA PESA TU YA WATANZANIA? je ndani ya miezi mitatu hawa wanafunzu watakuwa competent zaidi ya miaka miwili waliyokuwa sekonadari? jamani au nimaelekezo ya watoa fungu (wafadhili) ili wachache wale kupitia migongo ya watu ambao eti wamefeli? Kimsingi hawa wanafunzi kwa muda wote wa kozi hii hawatalipia chochote. WADAU HEBU TULITAFAKALI HILI.
 
hata mm niliona tangazo hilo,na linahusu vyuo vyote vya ualimu,cjui kwa fani nyingine lakini. Labda unihabarishe.
 
[h=2]Pre- entry ya diploma Tanzania.[/h]
Ndugu wadau wa JF currently kuna mchakato wa kozi ya pre-entry ya dipoloma kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi na hisabati wenye ufaulu wa S na E. Na kwabahati mbaya wamekuja na msamiati wao wanaita BRIDGING COURSE ambayo itafundishwa kwa miezi mitatu halafu baadae watajiunga na Ordinary diploma. Je wadau huu utaratibu niwaukweli? AU NISEHEMU YA KULA PESA TU YA WATANZANIA? je ndani ya miezi mitatu hawa wanafunzu watakuwa competent zaidi ya miaka miwili waliyokuwa sekonadari? jamani au nimaelekezo ya watoa fungu (wafadhili) ili wachache wale kupitia migongo ya watu ambao eti wamefeli? Kimsingi hawa wanafunzi kwa muda wote wa kozi hii hawatalipia chochote. WADAU HEBU TULITAFAKALI HILI.​
Kama unataka kuumiza kichwa kwa KUTAFAKARI nenda SAINT JOHN UNV OF TZ MEN,ukiwa na Div 4.28-4.31 ya IV UNAJIPATIA DIPLOMA YAKO BILA SHIDA! na Pia km una ndg yako aliyefeli hadi kiwango cha DIV 4.34, Mpeleke hapo atapokelewa kwa level ya CERTIFICATE! Hapo ni pesa yako men!
 
Back
Top Bottom