CHADEMA kidedea kijiji cha Kabiga Geita

Duuh hawa CCM na rushwa ni kama mishipa na damu,hongereni kwa kushinda ulaghai huo
 
uchaguzi ungeitishwa leo au kipindi hiki CCM lazima wangebwagwa tena vibaya.

HONGERENI WANA KABIGA! HIYO NDIYO DEMOCRASIA MABADILIKO NDIYO YAMEANZA!
 
Dah, sisiemu wanatisha, rushwa hadi katika uchaguzi wa ngazi ya kijiji? Nadhani tatizo la rushwa ni kubwa kuliko ninavyoweza kufikiri
 
hongera sana hii ni ishara tosha jinsi CDM wanavyojijenga NAPE hapo unasemaji jamaa wameanza na vijiji
 
Kabla ya huyu aliyekuwa mwenyekiti alitokea CCM aka CHAMA CHA MAGAMBA.
 
chadema hongereni sana, mfanye kweli kazi ya wananchi katika hiko kijiji ilimjitofautishe na chama cha magamba
 
chadema waendelee kujipenyeza vijijini nadhani hadi kufika mwaka 2015 watakuwa kwenye position nzuri sana.
 
Kama ccm inadhani kuwa zile mbinu za tshirt, kanga, chumvi na kofia bado zitawabeba, wameula wa chuya!!!!!!! hizi ni zama nyingine kabisaa. Wajipange wataumbuka vibaya uchaguzi ujao. hizo ni dalili tu.
 
tARATIBU, WANAMWAGWA HAWA WARAFI WA FEDHA ZA NCHI, CCM WAKO KAMA GADAFI, HAWAACHII MADARAKA MPAKA WATAKAPO DHARIRISHWA. cKU WAKIACHIWA MADARAKA, LAZIMA WAFILISIWE FEDHA ZA UMA WALIZO KWAPUA
ROSTAM, EL, WAKUU WA KAYA WAWILI WA MWISHO, MRAMBA, PINDA, NA WENGINE WENGI AMBAO WANATAFUNA FEDHA ZA UMMA BILA AIBU
 
Sasa hayo ya kusilimishwa yametokea wapi tena? Mbona kila issue tunai-deflect kwenye udini? Halafu kina FaizaFoxy na Malaria sugu wakijibu tunawaona ndo wenye matatizo.Huu ni uchokozi wa wazi wazi.

Huyu Jamaa nadhani ni CCM ambaye anajaribu kuipaka matope Chadema nimeona kila akichangia hoja lazima awe na comments za kudhalilisha Uislam ila nadhani tumsamee hajui kipimo cha uovu anaoufanya.
 
wasukuma wakisema yaya hata umpe nini bado atasema yaya(hapana/sitaki)

mkuu kati ya kura zilizopigwa cdm 568 na ccm 453, nafikiri wapiga kura karibia wote walikuwa wasukuma, hivyo dhana ya usukuma haiusiki na matokeo ya uchaguzi, vinginevyo cdm ingepata kura 1021. Si wasukuma wamesema yaya kulingana na maoni yako.
Inatubidi tuanze kufikiria kama raia wa karne ya 21 kwamba mtu yeyote msukuma au kabila lolote ana haki ya kuamua na kuchagua kiongozi anayemfaa, bila kuhusisha uamuzi wake na kabila au dini au aina yoyote ya kitabaka.
 
So far so good,tutafika tu pole pole....na hawa jamaa by 2015 wakubali matokeo....
 
huo ni mwanzo mzuri wa mabadiliko. tufanye kweli ktk uchaguzi wa serikal za mitaa 2014 ili kuweka njia nyeupe kwa uchaguzi mkuu 2015. hongereni sana wanakabiga.
 
Nape hana akili na wenzake kibo wamejaa udini na ukabila . Hongera wazee wa kanda ya Ziwa.
 
Back
Top Bottom