JAJI NI JAJI Ukianza tu KUMJAJI JAJI kwa mirengo ya kisiasa huwezi tambua maana ya JAJI,Nimefatillia sana kesi ya Mheshimiwa MBOWE toka inaanza ila honestly speaking from the beggining watoa taarifa hawakuwa objective
Kuna wakati huwa nashangaa wana ccm ambao wanatetea ujinga wa Bashite huyu jamaa ni kujidharirisha tu kutetea madudu anayofanya k kila kukicha ,kuna muda huwa nahisi ama anafanya makusudi au kuna anaemtuma kuchukua attention ya Umma wa waTz
This is what we call USA ,Democrats or Republic's. When it comes to Oil fields ni watoto wa baba mmoja ,huo ndio uzalendo sio kina sisi na ccm na chadema zetu,Toto politics na vituko kila siku like ze comedy
Leo kiukweli yule jamaa kazingua sana me mwanzo nilihisi ni Yale macho yake, baada akaanza kusinzia kabisaaaaa,natarajia watamchukulia hatua ,ameonyesha udhaifu mkubwa
Sasa hapo kwa kauli za jiwe na data zake Wagogo wamekosa nini,great thinkers acheni kutumia akili ndogo kwa mambo madogo,wagogo hawajawahi kuandika Katiba ya Tanganyika.....hata ya Tz
instagramboy
Huna unachokijua usipotoshe umma kaa kimya..hiyo mishahara umeweka ni ya nchi gani...mimi ni mwalimu hakuna kitu kama hiyo.....ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze.....
Walimu hodii , kama kuna mtu anataka kurudi kwao Nyasa Ruvuma tutafutane,wilaya hii inakua kwa kasii sana umeme unakuja mpaka dec vijiji 54 kati ya 70 vitakuwa na umeme....uwe unatoka Mbeya,moro,Iringa au Tanga Idara ya sekondari.PM ihusike zaidi...karibunii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.