Recent content by Kurutamjanja

  1. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Najuta kuhamia kwangu Kerege

    Ni Bora upange sinza nyumba ya milioni moja na nusu kuliko kwenda kuishi bagamoyo. Mafuta kwa mwezi,maji ya kununua,yaani Ni Shida.
  2. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kuishiwa nauli katika mishemishe tukutane hapa tuelezee tulifanyaje tukapata nauli

    Unakosaje sehemu ya kukaa Zenji? Kwani hauna makalio? Zenji Kinyeo mtaji bro hujakitumia vizuri ungeweza hata kumiliki Alphard.siku nyingine tumia mtaji wa tako Bro
  3. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Haya maombi sasa ni kero

    Tena hapo Mount Meru Kuna jamaa anajifanya muombezi ila yupo Kama chizi freshi vile.
  4. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

    Ni laki mbili na nusu au milioni mbili na nusu,huenda ikawa umezidisha sifuri moja.maana sikuelewi
  5. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara soko la Samunge Arusha waunga mkono kauli ya Rais Magufuli

    Hawa kina Mama wa Arusha ni wapambanaji sana
  6. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu ya gari kuchemsha (overheat)

    litakuwa linataka kupika chai hilo
  7. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Kama una gari hizi , Tayari hesabu Una pesa Mkononi bila kigugumizi

    hako kamilioni tano kako ka mkopo kafugie kuku ule Mayai hakunaga gari kwa bei hiyo labda limtori.
  8. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Social Media reactions as President Magufuli sacks his Minister

    No longer at easy
  9. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Israel imeunda kikosi kazi kitakachojiandaa kuimaliza Nchi ya Iran kijeshi

    unapoichokoza iran umeichokoza Russia,North Korea,China,Syria na Wavietnam ,hapo Hilo mnaloliita taifa teule litafutika katika ramani ya dunia
  10. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara kwa mtoto kwa kujamiana na mama anayenyonyesha?

    Mbona Tifa Wa Diamond Hajabemendeka,we kula mzigo jombaa.
  11. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Mabasi kutoka mikoa ya mbali kulala Morogoro

    Mkubwa panda NewForce Moro inaingia SAA 11 jioni toka Songea dar ni SAA moja usiku achana na mikangafu
  12. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Morogoro Vibandani, eneo lililotoa mastaa zaidi ya 70% Tanzania

    MC Koba,Chiza Kichuya, Musa Mahenge.
  13. Kurutamjanja

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Nissan March k12

    Ndugu yangu Nissan March mm ninako, kiukweli gari hizi ni sawa na ndoa ya Kikristo. Ukitaka kuiuza hutopata mteja.na Spea zake ziko juu kidogo na sio nyingi sana.
Back
Top Bottom