Haya maombi sasa ni kero

Haya maombi sasa ni kero

Huko ni wainjilisti Temeke na Tumbi na kwingineko ni mashekhe na waumini wao na wakiingia huko ndani ni mengi yanafanyika!!wengine wanataka hadi nguo yeyote yenye damu waondoke nayo.Naomba tusichafue hali ya hewa wenye dini zenu Mungu awape hekima na kuvumiliana.

Acha uongo hamna kitu km hiko tmk mimi ndo hosp yangu ila nenda ocean road uone mpaka magita wanaenda nayo
 
Ni ktk hospitali ya mkoa Mt.Meru Arusha,asubuhi na mapema wainjilisti na waombezi wanajazana ktk wodi za wagonjwa kelele tupu,uongozi wa hospitali uliangalie vyema hili ni usumbufu kwa wagonjwa.
Nashauri uwaache. Ni kwa sababu wanajua wanachokifanya, ila wewe hukijui
 
Ni ktk hospitali ya mkoa Mt.Meru Arusha,asubuhi na mapema wainjilisti na waombezi wanajazana ktk wodi za wagonjwa kelele tupu,uongozi wa hospitali uliangalie vyema hili ni usumbufu kwa wagonjwa.
We huumwi ndio mana kero kwako. Ngoja uwe ICU uwepo wao utautamani sana tu. We mpaka unaandika huku JF unaumwa kweli wewe? Si ungewaambia tu hapohapo watu wa menejiment.
 
Kama maombi yanasaidia mbona sala kila siku ya Mwenyekiti wa Bunge la katiba Samuel Sitta imeshindwa kuwarudisha UKAWA ndani ya Bunge?,,maombi hayana lolote zaidi ya imani tu sawa na wale wagonjwa walioenda Loliondo kwa Babu na bado sasa hivi ni wagonjwa kama zamani na wengine tayari ni marehemu kitambo tu!

Imani na maombi vinaendana. Kama.kuna maombi bila imani ni kazi bure, kama hakuna mtokeo basi hakukuwa na imani.
 
Tena hapo Mount Meru Kuna jamaa anajifanya muombezi ila yupo Kama chizi freshi vile.
 
Back
Top Bottom