Kama una gari hizi , Tayari hesabu Una pesa Mkononi bila kigugumizi

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,095
2,429
Toyota Will
Toyota Porte
Toyota Sienta

Tuwasiliane haraka nahitaji gari ndogo aina hizo na tayari nmeweka bajeti ya Tsh Mil 5. Kuna watu wanaweza kuwa na shida ya haraka na hiyo pesa.

Nina gari kubwa nmeenda nayo mkoani lakini kila mara nakuja dar.nikiwa hapa nahitaj gari ndogo ya mizunguko ya town kwenye shughuli zangu. Za kukodi gharama yake inaweza kuwa kubwa zaidi after smetme.

Naomba mwenye hizo gari kuanzia namba C na isiwe imewah kupata ajali au kupigwa rangi. Aliye serious anambie nije dar tukamilishe mchakato. Ntamleta fundi wangu kukagua pia. Nawaomba waungwana tusaidiane.

WADAU NASHUKURU NIMEPATA GARI SIENTA KWA BEI NZURI. NASHUKURU KWA WALE MLIO KUWA WASTAARABU NA KUSHIRIKIANA NAMI NA WALE WANAOJIFANYA WAJUAJI WAMEENDELEA KUKALIA MISUMALI.... NIMEWATOSA BAHARINI WAMEZAMA KAMA JIWE. UNAJIFANYA MJUAJI UTATANDIKIA WATU JAMVI.
 
Akili za namna hii miaka hii zimeongezeka. Takwimu zinasema idadi ya wapumbavu tanzania inaongezeka. Kama haikuhusu si unaacha tu ili waje wenye akili wachangie. Ninyi wanawake wa siku hizi hamna adabu kabisa. Zaman sisi ilikuwa wanaume tunapoongea wanawake mnaenda uani.... Lakini sasa nanyi mnataka kuonekana mkionesha Upumbavu wenu.

hako kamilioni tano kako ka mkopo kafugie kuku ule Mayai hakunaga gari kwa bei hiyo labda limtori.
 
Toyota Will
Toyota Porte
Toyota Sienta

Tuwasiliane haraka nahitaji gari ndogo aina hizo na tayari nmeweka bajeti ya Tsh Mil 5. Kuna watu wanaweza kuwa na shida ya haraka na hiyo pesa.

Nina gari kubwa nmeenda nayo mkoani lakini kila mara nakuja dar.nikiwa hapa nahitaj gari ndogo ya mizunguko ya town kwenye shughuli zangu. Za kukodi gharama yake inaweza kuwa kubwa zaidi after smetme.

Naomba mwenye hizo gari kuanzia namba C na isiwe imewah kupata ajali au kupigwa rangi. Aliye serious anambie nije dar tukamilishe mchakato. Ntamleta fundi wangu kukagua pia. Nawaomba waungwana tusaidiane.

unapatikana wapi mkuu
 
Back
Top Bottom