Naomba niseme wewe una macho Bali unatembea umefumba kama kipofu,WHY?umesema dhahiri kuwa ulishamsahau,mtu aliyewapatia binti zako wawili(hg kwa upande wako?another blindside of u)mimba umemsahau?wewe ni kipofu au juha kwa lugha nzuri,labda nikueleze kifupi yule binti wa pili alipofika ulipaswa...
Pole Sana!safari bado ni ndefu still unahesabu semester,watu wanasomesha wanaachwa,wananunua magari wanaachwa wanajenga nyumba(Ufoo Saro)wanaachwa!kama hii ni safari basi wewe Ndio kwanza gari inasumbua kuwaka bado huko mbele kuna kujaza fuel,traffic,Milima mabonde hata ajali na kifo hivyo...
Nikijaribu kuunganisha matukio, nimemuoa mke wangu miezi miwili baada ya kumaliza chuo, na akiwa chuo bado akiwa mchumba niliwahi kuhisi ana mahusiano nje ya mimi, sasa yaani dah! hili jambo lina nitesa sana.
"Kosa,inaonyesha ulimlazimisha ndoa haukuwa makubaliano hilo ni kosa kubwa sana ni...
POLE SANA!
Hongera na ushukuru Mungu umeweza kutoa msaada hadi hapo ulipofikia,Pili kujibu swali lako,ugonjwa wa Mama Mkwe unakuhusu NDIO,nikiangalia tatizo kubwa kuliko yote Hapo ni ushirikiano kati ya wewe na mkeo,ni dhahiri hampo same team,Sasa kama ni hivyo mtashindwa hata kama ukiendelea...
Lengo lako ni Nini?Wewe si mzazi wa huyo mtoto,wewe ni mtia mimba in english sperm donator!Sasa kama unataka mtoto,swali ni unatakaje mtoto asie wako?mi nafikiri badala ya kuvuruga ndoa ya mtu asie na hatia baki tulia na mke wako muombe Mungu atakujalia wako.
Si kukurupuka nyie Ndio mnaopotezea muda mabinti wa watu ni dhahiri huna uwezo wa kumuoa la sivyo utaomba michango hadi jf baada ya Hapo maisha ya shida binti anaanza kujuta unaanza kuchapiwa,usiruke stage jiweke sawa kwanza unaonekana bado hujapevuka kwa kitendo cha kuishi kwa wazazi.
Zungumza na mkeo,mwambie namna ambavyo unahisi,hakuna haja ya kuzungumza na huyo bwana huenda alimpa taarifa kawaida tu kuwa anauza kiwanja kwa nia njema sababu siamini kama wewe umefuta numbers za kila mtu mmekua kwa mahusiano na pia jua ya kwamba kwa sababu wameshakua kwa mahusiano Yule bwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.