Nipo katika mahusiano na wasichana sita

Nipo katika mahusiano na wasichana sita

Status
Not open for further replies.
Habari wakuu,!
Nimekuwa na mahusiano na wasichana sita ambao kila mmoja nafanya nae mapenzi, lakini napenda sana kuachana na hii tabia chafu ya kuwa na wasichana wengi na nimejaribu sana kujiweka busy na mambo ya mhimu lakini wapi, natamani hata niende kwa mchungaji akaniombee jamani maana mimi mwenyewe nimeomba lakini naona maombi hayajibiwi.Na wasichana wengine huwa wananiambia wananipenda( sijisifii) na sio kwamba mimi ni handsome boy na wala sina hela ya kusema eti msichana anipende.Nimeomba ushauri sana kwa marafiki zangu ambao hawana hii tabia lakini bado siachi jamani yani tangu nianze kufanya mapenzi, nimefanya na wasichana zaidi ya kumi,! Mwezi uliopita nimechangia damu majibu yamerudi niko poa na blood group langu ni B+,! Sasa nataka niiache hii tabia lakini nafsi bado inanisukuma nisiache nifanyaje jamaniii?
Nipo serious.!

Hiyo ni roho/pepo,na sio kawaida ndo maana we mwenyewe umeshindwa kuacha hata baada ya kujitahidi na kuomba na hautaweza!
Hata ukioa hutaweza acha,utaendelea kuwa na wanawake wa nje!!

Nenda kamuone mchugaji haraka sana umwelezee na shida itaisha, na baada ya maombi hao wanawake wenyewe watasepa hakuna ht atakaekusumbua!!

Then ulete mrejesho hapa!!

Ila Nina swali km hutojali:
Kweny familia yako vp,hiyo Tabia unayo ww tu?
 
Usiache mkuu piga mashine mpaka iishe hiyo ndio utaacha.
Hongera sana.
 
Hayupo serious huyu....na kwa tabia yako hii,usipoacha mapema na kufanya maombi ya kukemea hiyo roho ya uzinifu basi laana ii na wana wako pia! Huwezi kuwa mwanaume mwenye kujitambua na bado ukajipiga piga kifua kwamba wewe ni bingwa wa kuseduce....shame upon you!Kwa kuwa mimi sio rafiki yako, ushauri wangu hautokufaa kwa kuwa umeshakiri marafiki zako wasio na tabia kama yako wamekushauri ila hukufuata ushauri wao!

I'm serious enough,,! Ningekua sipo serious nisingepoteza mda wangu uandika thread, shame on you x 2.
 
hahaha mkuu mbona unamshauri ndugu kifo mke wa mtu sumu cha kufanya hapo labda ukaonane na mshauri wa mambo ya kijamii anaweza kukusaidia kama ukapata kuhudhuria vipindi vya ushauri na kukutana na watu wenye tatizo kama lako. Ndio nnachoweza kukushauri.

shukrani mkuu kwa ushauri wako mzuri
 
Hiyo ni roho/pepo,na sio kawaida ndo maana we mwenyewe umeshindwa kuacha hata baada ya kujitahidi na kuomba na hautaweza!
Hata ukioa hutaweza acha,utaendelea kuwa na wanawake wa nje!!

Nenda kamuone mchugaji haraka sana umwelezee na shida itaisha, na baada ya maombi hao wanawake wenyewe watasepa hakuna ht atakaekusumbua!!

Then ulete mrejesho hapa!!

Ila Nina swali km hutojali:
Kweny familia yako vp,hiyo Tabia unayo ww tu?

shukrani kwa ushauri mzuri.ubarikiwe
 
Habari wakuu,!

Nimekuwa na mahusiano na wasichana sita ambao kila mmoja nafanya nae mapenzi, lakini napenda sana kuachana na hii tabia chafu ya kuwa na wasichana wengi na nimejaribu sana kujiweka busy na mambo ya muhimu lakini wapi, natamani hata niende kwa mchungaji akaniombee jamani maana mimi mwenyewe nimeomba lakini naona maombi hayajibiwi.

Na wasichana wengine huwa wananiambia wananipenda( sijisifii) na sio kwamba mimi ni handsome boy na wala sina hela ya kusema eti msichana anipende.

Nimeomba ushauri sana kwa marafiki zangu ambao hawana hii tabia lakini bado siachi jamani yani tangu nianze kufanya mapenzi, nimefanya na wasichana zaidi ya kumi,!

Mwezi uliopita nimechangia damu majibu yamerudi niko poa na blood group langu ni B+,! Sasa nataka niiache hii tabia lakini nafsi bado inanisukuma nisiache nifanyaje jamaniii?

Nipo serious.!
You are nserious and a stupid fool
 
Umalaya na tamaa za ngono zinakusumbua.
 
Jmn kuwe na limit ta umri wa kujiunga na jf... maana watoto wanazidi sasa
 
Jmn kuwe na limit ta umri wa kujiunga na jf... maana watoto wanazidi sasa
It's getting too boring....underage wamejaa kuanzisha ujinga tu!I think ni sababu ya fake ID mtu haoni aibu kuandika ujinga.
 
Jmn kuwe na limit ta umri wa kujiunga na jf... maana watoto wanazidi sasa

mkuu kuna usemi unasema kwamba "Utu uzima ni busara, na wala sio umri" hii inamaanisha kwamba unaweza ukawa na umri mkubwa lakini usiwe na busara, na unaweza ukawa na umri mdogo ukawa na busara. Kikubwa kinacho matter hapa ni busara na kama huna busara na una umri mkubwa, ni kama tanki kubwa la maji bila maji, kwahiyo mkuu humu Jf kuna watu wenye umri mkubwa lakini busara 'F' na utambue kwamba sio kila unachojibiwa humu ni kizuri,ni wewe mwenyewe kuchuja ndo maana chini kabsa ya thread nikaandika, " nipo serious". Lakini shukrani kwa wazo lako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom