Recent content by Kuntakunte

  1. Kuntakunte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka Wadau wa tech..

    Mkuu imekubal tanx sana
  2. Kuntakunte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka Wadau wa tech..

    mkuu ngoja nijaribu ntakupa matokeo.
  3. Kuntakunte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka Wadau wa tech..

    Ndio mkuu.
  4. Kuntakunte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka Wadau wa tech..

    Natumia karbonn android A1 mwanzo nilikua natumia whatsapp vizuri tu jana nimeifuta sasa kila nikijaribu ku install tena inaniandikia "your content filtering level doesn't allow you to download this item" wadau wa humu naomba mnisaidie nifanyeje ili whatsapp ikubali kudownload tena kwenye simu...
  5. Kuntakunte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    :hatari:
  6. Kuntakunte

    JamiiForums Tanzania Mastaa WENU wa Bongo Movies vituko kila kukicha

    Walikosa gesti nini?
  7. Kuntakunte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusaidiane katika kuchagua nembo nzuri kati ya hizi

    Hata mimi no.4 nimeikubali..ila hyo ya mwisho kabsa cjaipenda kabisa sababu ya hyo piramid hapo imeharibu..
  8. Kuntakunte

    JamiiForums Tanzania Please Help me Guys!!

    kwani google ipo kwa ajili gani?
  9. Kuntakunte

    JamiiForums Tanzania Mchina....

    Duuh! Utafkir wamepigwa pasi.
  10. Kuntakunte

    JamiiForums Tanzania Sweet honey news for Tanzanians!

    teh teh teh ngoja nimuulize nape nauye.
  11. Kuntakunte

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Mary Hunbig....

    mkuu stevohmimi si mwenyeji sana hapa jf ila kwa nnavyoona sumu zako ni grade B ndo mana mtoto anakusumbua. USHAURI:nakushauri rudi darasan kachukue sumu za grade A au mfate jamaa mmoja hivi anaitwa chimbuvu huyu jamaa sumu zake kwa madame bnimezikubali huenda akakupa maujanja na wewe ukang'oa...
  12. Kuntakunte

    JamiiForums Tanzania Kuntakunte ndani ya nyumba!! naombeni njia wana jamvi..

    teh teh nilikua sijui ndo nikawa na jaribu mpaka nimeweza kuweka photo jukwaani.
  13. Kuntakunte

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wana jf photos?

    mkuu bilashaka utakua unantania?
  14. Kuntakunte

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wana jf photos?

    ni kweli mkuu sioni sehem ya like ila usihof nntavuta ka laptop hvi karibun na mambo yatakua byee!
  15. Kuntakunte

    JamiiForums Tanzania Kuntakunte ndani ya nyumba!! naombeni njia wana jamvi..

    bas twenzetu huko chitchat nikapaone.
Back
Top Bottom