Hodi hodi wana jf photos?

Kuntakunte

Member
Dec 9, 2012
35
0
Hodi hodi Wadau wa jf photos naombeni mnielekeze jinsi ya kuweka picha maana nimesoma kule kwenye maelekezo lakini naona sielewi...natumia simu not computer!!
 
Dec 11, 2010
3,321
0
Mkuu mleta thread.
Pole kwa majibu ya kipuuzi kutoka kwa hawa jamaa zetu hapo juu.

Sio aina zote za simu unaweza ku-appload picha, kuna baadhi hazina uwezo huo japo nyingi za kisasa zina uwezo huo. Kwa msaada unaweza kutuma email kwa msaada zaidi kuhusiana na hilo kwenye huku ukieleza aina ya simu unayo tumia. Email support@jamiiforums.com

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mkuu nashukuru kwa ushauri wako...ila ningependa kukutaarif kwamba nilifanya hivyo ulivyo nielekeza na sasa hvi nimeshaweza kuna picha kama 2 tayari nimesha weka kwenye hili jukwaa..yote kwa yote nashukuru kwa majibu yko yenye busara.
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,134
2,000
nashukuru kwa ushaur wako mkuu.

una wajibu na haki ya kushukuru
Join Date : 12th February 2010
Join Date : 9th December 2012
Posts : 16
<!-- <dt>Mentioned</dt> <dd>0 Post(s)</dd><dt>Tagged</dt> <dd>0 Thread(s)</dd>
--><dl class="user_rep">Rep Power : 304
</dl><dl class="vbseo_like"><dt>Likes Received 0</dt>
<dt>Likes Given 0</dt>
</dl>
 
Kuntakunte

Member
Dec 9, 2012
35
0
Kama mtu anatumia simu yenye uwezo mdogo ni vigumu kutoa like. Kwasababu kunabaadh ya mambo hayaonekani, mfano ni hyo sehemu yaku like..

ni kweli mkuu sioni sehem ya like ila usihof nntavuta ka laptop hvi karibun na mambo yatakua byee!
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,492
2,000
Hodi hodi Wadau wa jf photos naombeni mnielekeze jinsi ya kuweka picha maana nimesoma kule kwenye maelekezo lakini naona sielewi...natumia simu not computer!!
Rusha picha yako hapa nikuweekee ndo kazi yangu humu jf wewe hauwezi vilevile mimi ndo mtunza picha humu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom