Recent content by kunguru joseph

  1. K

    JamiiForums Tanzania David Kafulila(MB) awaweka washauri wa JK Pagumu: Aonyesha JK alivyolivyolipotosha Taifa Leo

    Namshanga rais kumrinda mhongo maana yake nayeye anahusika ccm inachanika mikononi mwake.kwa tamaa ya pesa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kijaruba cha ndoa na familia TV tork show naomba ushauli namna ya kupata udhamini

    Kijaruba kipindi cha TV ambacho lengo lake nikutoa elimu ya mahusiano kwa ngazi ya familia nitaeleza kwa kifupi jinsi kipindi kinavyo kuwa kipindi kinafanyika ukumbini kinakuwa mtaalam saikoloji.na mwanasheria mzee wa sauti ya hekima lkn pia tunakuwa na muathirika wa mahusiano kutoka kwenye ndoa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wenyeji,naombeni kuingia humu.

    Hauko peke yako tupo wengi nami nami nabisha hodi jf naomba muongozo wenu wapendwa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za Benjamin Mkapa kumuunga mkono Lowassa

    Ndugu mm ninani hata nionge sana ila tukumbuke chema chajiuza kibaya chajitembeza sasa kama lowasa ni chema muacheniatauzika hata msiposema mnapo sema sana tunaona kama mnatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa wacha tutafakari utendaji wake hali ya taifa hapalilipo watanzania wataamua
  5. K

    JamiiForums Tanzania Davido Alivuta Dolla 40,000 Fiesta

    Naomba niseme kitu hapo kuna vitu vitatu hapo mosi kunakutoa burdani bila kujali inatoka wapi pili kutangaza mziki wa bongo hapa naweka mkato wajuu tatu kunakufanya biashara kwa mtindo utakao onekana unaweza kuleta mapene bila shida mkianza.kutangaza elimu za watu katika muziki mnaondoa maana
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ajali daraja la Wami: Basi la Simba mtoto na lori yagongana uso kwa uso

    Nadhani ifike mahali selkali ichukue hatua stahili kuwasomesha madreva kuwaongezea uelewa kuhusu matumizi ya barabara kama sio tusubili kuwa vilema watalajiwa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

    Kuhusu michango change I msihoji zinafanya kitu gain mnapitishwa mbio
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyefikia umri wa kuolewa anaitwaje kwa Kiswahili?

    Jitahidi kutumia lugha zinazo elimisha.acha ujinga
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wizi Mabibo Hostel

    Pole sana kwani kwenye wengi.panamengi chukua tahadhali
Back
Top Bottom